Wana Azania tukutane hapa

Wakati wa kwayu na marehemu mchwa mpaka..school baraza ilikua hapatosh
.mihogo ya huseni nyuma kule
 
Habari za leo!
Azania sekondari ni moja ya shule kongwe nchini ambayo huko nyuma ilikuwa na historia nzuri ya kufaulisha na kutoa vijana wazuri kichwani. Kama uliwahi kupitia pale tafadhali jitokeze hapa na utukumbushe historia ya wakati wenu pale Azania.
Ahsanteni sana
Ulikuwa pale miaka ipi? Ya kuvaa kaputula au suruwale?

Vv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom