Waachwe waendelee KUPIGA MTONYO.Kwa hiyo wameafikiana kufanya nini sasa?
Agenda ya kikao ilikuwa nini hasa?
Kwa hiyo wameafikiana kufanya nini sasa?
Agenda ya kikao ilikuwa nini hasa?
kama inawezekanaSerikali ifunge hizo zote ifungue yake binafsi
Na uamuzi wao wa kukutana nao ni wa kukurupukaView attachment 323543 Maelfu ya Wafanyakazi na wamiliki wa makampuni ya uwakala wa forodha wanakutana jijini Dar es Salaam kujadiliana kuhusiana na sakata la kufungiwa kampuni 210 za forodha.
Akizungumza katika ufunguzi wa mkutano huo rais wa TAFFA Steven Ngatunga amesema maamuzi ya kufungia makampuni hayo ulikuwa wa kukurupuka.
Katika mkutano huo Serikali inawakilishwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara(TNBC), Raymond Mbilinyi.
Chanzo: ITV
Kusema hawa ni wezi ni sawa na kusema (mfano) 'wachaga wote ni wezi' au 'wafipa wote ni wachawi', 'wahaya wote ni malaya' nk nk.Walipe under protest then waende kortini haki itendeke. Wengi wao ni vimeo hawa. Hata mtu akiagiza kigari chakavu kwa vihela vya kubangaiza lazima wakuingize mjini. Wanasingizia TRA. Wajuzi sana kufoji invoice ya aina yoyote.
Kitu ambacho kinaniacha na maswali, ni kwa nini wasiende bank walikolipa awali kuprove payment zao kama TPA wanasema hawakulipa? Nadhani ni haki yao kupata documents bank kama wateja wao. Bank wanakumbukumbu za miaka kumi ya nyuma na hilo lipo kisheria.
Kabisa mkuu na wengine wana barua toka benki kuthibitisha kuwa fedha imekuwa drawn in favour of tpa kwa waliolipa na banker's cheque lakini wanaambiwa walipe tena na wao hawana ushahidi wowote kama receipt copy wakati agent ana original.Kusema hawa ni wezi ni sawa na kusema (mfano) 'wachaga wote ni wezi' au 'wafipa wote ni wachawi', 'wahaya wote ni malaya' nk nk.
Hapa wizi unaoongelewa ulifanywa kati ya bandari kwa kushirikiana na benki ambazo wamepewa kazi na bandari kuwakusanyia pesa. Kwa wale waliolipa in cash wanatuhumiwa kwamba walikula dili na cashier wa bandari wakagawana pesa kitu ambacho wa kulaumiwa ni bandari (japo haiwezekani na haikufanyika hivyo), laki9ni kuna kampuni zililipa kwa cheque, TT na hata bankers cheque lakini pesa zao hazikufika bandarini na wakikueleza walivyo zidroo hizo cheque ndio utajua hii nchi ilikuwa imeoza kiasi gani!
Possibly clearing agents ni wadanganyifu kama watanzania wengine lakini katika hili sakata ni innocent kwa 100%.
Naomba list ya haya makampuni
kuna kitu nataka nimuhabarisheni
Na kwa wale wanaolifuatilia kwa karibu swala hili ni wazi siasa zinaweza kuzidi nguvu professionalism na maagent wakaumizwa.Kabisa mkuu na wengine wana barua toka benki kuthibitisha kuwa fedha imekuwa drawn in favour of tpa kwa waliolipa na banker's cheque lakini wanaambiwa walipe tena na wao hawana ushahidi wowote kama receipt copy wakati agent ana original.