Wamegundua katuni (animation) zimepoteza uhalisia kutokana na kuwa na muonekano halisi kama binadamu

true...

the first thing i noticed kwenye 'puss in boots the last wish' ni ile style aisee

ndio maana 'sinbad' na 'the prince of egypt' ziko goated....

tafta anime inaitwa 'chainsaw man' mkuu utapenda animation style yake na ni kali balaa

Da'Vinci
Chainsaw man niliangalia kama episodes 3 nikaacha. Hapa nairudia S2 ya Attack on Titan
 
Ni sawa uangalie GOT halafu ukatazame BB
Dogo fala sana😂

Enewei, usipende kurudia vitu au kua obsessed.... Skuizi IP ni nyingi mno you have to go fast....

Nakumbuka niliwahi kua obsessed na dragon ball, ilinipotezea muda wa kuangalia vitu vingine....

Saivi naangalia kitu, nakimaliza, sirudii tena. Hii imenisaidia nimeangalia IP nyingi sana kali
 
Screenshot_20230624-204835_Chrome.jpg
 
Raha ya animation, hata pasiwepo na utofauti na binadamu ni ile flexibility. Mfano coco ambayo niitazama mara mbili ina visa vizuri mno ambavyo kiuhalisia kwenye ubinadamu hayo yaliyofanyika humo hayawezekani.. zile katuni za 2D kushuka kiukweli zimepoteza mvuto. Labda ziwe na stori nzuri sana kama Tom na Jerry

Pia ukitazama animation ya Soul nayo ni realistic sana ila ina ukatuni mwingi na mzuri. So hata ikifika hatua tusitambue huyu ni mtu au katuni tutajua tu baada ya muvi kuanza kutokana na impossibilities tuonazo katika animation ambazo binadamu hawezi. Na hizo ndio adventure/imagination watu wanataka. Mfano mzuri no coco
 
Back
Top Bottom