Waliozaliwa Februari 29 hawana birthday mwaka huu!

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Apr 16, 2018
8,321
12,733
Habari Wana JF,Leo ni tarehe 01_03_2025 Siku ya Jumamosi, Kwa wale Wasabato niwatakie Sabato Njema.

Nilimsikiliza mwanahistoria mmoja,nae aliniambia hivi,hapo zamani siku zilihesabiwa kuanzia tarehe Moja hadi thelasini,Maana yake miezi yote ilikuwa na siku thelasini.Lakini kutokana na mabadiliko ya kiutawala wa Dunia kila tawala ilkuja na mfumo wake.

Sasa hapa kwenye hizo Tawala Warumi ndio hasa walichanganya mambo hadi kitabu Cha Daniel kwenye Biblia kimenukuu na kuluzungumzia, Daniel 7:24(Naye atanena maneno kinyume chake aliye juu ,naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu,naye ataazimu kubadili majira na Sheria;nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati,na nyakati mbili,na nusu wakati).

Huo ndio utawala wa Rumi ulivyobadili majira.Mwenye kuongea hii historia karibu!.
 
Back
Top Bottom