Kayumbo Mohamed Kabutali
Member
- Feb 3, 2023
- 55
- 27
Mngenunua cash haya yasingejitokeza kweli ujuaji mwingi mbele giza pumzika salama huko uliko mwendazake
Nijuavyo Mimi,tatizo lipo kwenye mkataba maana huenda kuna kipengele kinachoruhusu kuongezeka kwa bei bila mteja kupewa taarifa.Kama hicho kipengele kipo nadhani tatizo mnajua linaanzia wapi.Elimu yetu bado haijatusaidia kwani watu kujizima data na kujidai hawaoni vifungu kama hivyo ni kawaida sana ili wafanikishe mambo yao.Ninavyoelewa mimi madai uandaliwa na anayedai na kuwasilisha pamoja na vielelezo Kwa mdaiwa. Kama ndivyo naamini kampuni iliyotengeneza ndege zetu ndiyo iliyowasilisha madai ya kiasi wanachoidai serikali. Kama pia tunakubaliana hapo maana yake aliyepandisha bei ya ndege ikawa mara mbili NI kamapuni iliyotengeneza ndege siyo mtumishi WA umma.
Tukiendelea kukubaliana Hadi hapo tutabaini kwamba wanaopokea invoice kwenye taasisi nyingi ni watu wa uhasibu au finance na Kwa maana nyingine hakuna invoice inayopokelewa kwenye taasisi private au public Bila kupitia Kwa wakurugenzi (private sector) au Katibu Mkuu WA sekta husika Kwa upande wa serikali.
Tutazidi kukubaliana kwamba Afisa masuuri WA serikali katika sekta ni Katibu Mkuu WA sekta au wizara husika, Kwa makampuni Afisa masuuri ni Mkurugenzi mtendaji au mtendaji mkuu. Kama tunakubaliana basi hapa aliyepokea invoice siyo junior officer Bali ni top managerial officer ambaye lazima Kwa upande wa serikali kimuundo ni Katibu Mkuu wa Wizara aidha ya fedha au Uchukuzi, mkurugenzi WA Fedha WA Wizara husika na Kwa shirika la ndege atakuwa mtendaji mkuu WA shirika la ndege nchini au mtendaji mkuu WA mamlaka au wakala WA ndege za serikali.
Baada ya kupokea invoice Kwa ukubwa fedha zilizoombwa na mtengeneza ndege walishauri au walipitisha Kwa malipo. Nimeeleza haya baada yakuona kuna upotoshaji unaendelea bungeni kuhusu hii hoja kama ifuatavyo;
Tumeambiwa kuna hatua za kinidhamu zimechukuliwa au zitachukuliwa lakini hakuna Katibu Mkuu, mtendaji mkuu au mkurugenzi aliyetumbuliwa wala kuwajibishwa Hadi sasa.
Serikali haiwezi kulipa fedha nyingi kiasi hiki Bila waziri kujua; hakuna waziri aliyewajibishwa. Hivyo pamoja na watumishi WA umma kupitisha maana yake hata waziri alikubaliana na malipo husika ndiyo maana akaruhusu imfikie Mhe. Rais ambaye alibaini madudu.
Maombi ya malipo yalioombwa na kampuni iliyotengeneza ndege; Hadi sasa hakuna sehemu kampuni hii yenye source documents za kuomba malipo imejadiliwa au kusemwa vibaya. Nasema hivi kumaanisha kwamba kama fedha zingelipwa maana yake zingelipwa kwenye akaunti ya kampuni na hivyo Kwa wizi wowote ule lazima syndicate inahusisha watumishi WA kampuni inayotengeneza ndege. Sijamsikia anayelalamikia kampuni tunawalalamikia Watanzania ambao wao siyo watengeneza invoice Bali waliletewa Tu.
Mwisho; naomba pia kufundishwa, spika anashindwa kumpigia Mhe. Rais apate ufafanuzi? Mhe waziri anashindwa kumpigia Rais apate ufafanuzi? Kwanini wakose KUELEWANA wakati wanatambua fika kwamba uongo na ukweli watakaozungumza unawiza kuathiri nafasi ya Mhe. Rais? Wanapata wapi muda wakujadili kauli ya Mhe. Rais kwakujichanganya? Wanataka Mh. Rais atoke kufafanua? Siyo vyema
Rais mwenyewe amesema kuwa kuna watu wamemuambia haya mambo yameanzia huku ndani. Sasa huku ndani kuna watumishi wa babu yako na sio watumishi wa umma? Kama hauna hoja si lazima kujaza kurasa za JF na maandishi kanjanja kama haya.Ninavyoelewa mimi madai uandaliwa na anayedai na kuwasilisha pamoja na vielelezo Kwa mdaiwa. Kama ndivyo naamini kampuni iliyotengeneza ndege zetu ndiyo iliyowasilisha madai ya kiasi wanachoidai serikali. Kama pia tunakubaliana hapo maana yake aliyepandisha bei ya ndege ikawa mara mbili NI kamapuni iliyotengeneza ndege siyo mtumishi WA umma.
Tukiendelea kukubaliana Hadi hapo tutabaini kwamba wanaopokea invoice kwenye taasisi nyingi ni watu wa uhasibu au finance na Kwa maana nyingine hakuna invoice inayopokelewa kwenye taasisi private au public Bila kupitia Kwa wakurugenzi (private sector) au Katibu Mkuu WA sekta husika Kwa upande wa serikali.
Tutazidi kukubaliana kwamba Afisa masuuri WA serikali katika sekta ni Katibu Mkuu WA sekta au wizara husika, Kwa makampuni Afisa masuuri ni Mkurugenzi mtendaji au mtendaji mkuu. Kama tunakubaliana basi hapa aliyepokea invoice siyo junior officer Bali ni top managerial officer ambaye lazima Kwa upande wa serikali kimuundo ni Katibu Mkuu wa Wizara aidha ya fedha au Uchukuzi, mkurugenzi WA Fedha WA Wizara husika na Kwa shirika la ndege atakuwa mtendaji mkuu WA shirika la ndege nchini au mtendaji mkuu WA mamlaka au wakala WA ndege za serikali.
Baada ya kupokea invoice Kwa ukubwa fedha zilizoombwa na mtengeneza ndege walishauri au walipitisha Kwa malipo. Nimeeleza haya baada yakuona kuna upotoshaji unaendelea bungeni kuhusu hii hoja kama ifuatavyo;
Tumeambiwa kuna hatua za kinidhamu zimechukuliwa au zitachukuliwa lakini hakuna Katibu Mkuu, mtendaji mkuu au mkurugenzi aliyetumbuliwa wala kuwajibishwa Hadi sasa.
Serikali haiwezi kulipa fedha nyingi kiasi hiki Bila waziri kujua; hakuna waziri aliyewajibishwa. Hivyo pamoja na watumishi WA umma kupitisha maana yake hata waziri alikubaliana na malipo husika ndiyo maana akaruhusu imfikie Mhe. Rais ambaye alibaini madudu.
Maombi ya malipo yalioombwa na kampuni iliyotengeneza ndege; Hadi sasa hakuna sehemu kampuni hii yenye source documents za kuomba malipo imejadiliwa au kusemwa vibaya. Nasema hivi kumaanisha kwamba kama fedha zingelipwa maana yake zingelipwa kwenye akaunti ya kampuni na hivyo Kwa wizi wowote ule lazima syndicate inahusisha watumishi WA kampuni inayotengeneza ndege. Sijamsikia anayelalamikia kampuni tunawalalamikia Watanzania ambao wao siyo watengeneza invoice Bali waliletewa Tu.
Mwisho; naomba pia kufundishwa, spika anashindwa kumpigia Mhe. Rais apate ufafanuzi? Mhe waziri anashindwa kumpigia Rais apate ufafanuzi? Kwanini wakose KUELEWANA wakati wanatambua fika kwamba uongo na ukweli watakaozungumza unawiza kuathiri nafasi ya Mhe. Rais? Wanapata wapi muda wakujadili kauli ya Mhe. Rais kwakujichanganya? Wanataka Mh. Rais atoke kufafanua? Siyo vyema
Unaelewa kidogo sana....Ninavyoelewa mimi madai uandaliwa na anayedai na kuwasilisha pamoja na vielelezo Kwa mdaiwa. Kama ndivyo naamini kampuni iliyotengeneza ndege zetu ndiyo iliyowasilisha madai ya kiasi wanachoidai serikali. Kama pia tunakubaliana hapo maana yake aliyepandisha bei ya ndege ikawa mara mbili NI kamapuni iliyotengeneza ndege siyo mtumishi WA umma.
Tukiendelea kukubaliana Hadi hapo tutabaini kwamba wanaopokea invoice kwenye taasisi nyingi ni watu wa uhasibu au finance na Kwa maana nyingine hakuna invoice inayopokelewa kwenye taasisi private au public Bila kupitia Kwa wakurugenzi (private sector) au Katibu Mkuu WA sekta husika Kwa upande wa serikali.
Tutazidi kukubaliana kwamba Afisa masuuri WA serikali katika sekta ni Katibu Mkuu WA sekta au wizara husika, Kwa makampuni Afisa masuuri ni Mkurugenzi mtendaji au mtendaji mkuu. Kama tunakubaliana basi hapa aliyepokea invoice siyo junior officer Bali ni top managerial officer ambaye lazima Kwa upande wa serikali kimuundo ni Katibu Mkuu wa Wizara aidha ya fedha au Uchukuzi, mkurugenzi WA Fedha WA Wizara husika na Kwa shirika la ndege atakuwa mtendaji mkuu WA shirika la ndege nchini au mtendaji mkuu WA mamlaka au wakala WA ndege za serikali.
Baada ya kupokea invoice Kwa ukubwa fedha zilizoombwa na mtengeneza ndege walishauri au walipitisha Kwa malipo. Nimeeleza haya baada yakuona kuna upotoshaji unaendelea bungeni kuhusu hii hoja kama ifuatavyo;
Tumeambiwa kuna hatua za kinidhamu zimechukuliwa au zitachukuliwa lakini hakuna Katibu Mkuu, mtendaji mkuu au mkurugenzi aliyetumbuliwa wala kuwajibishwa Hadi sasa.
Serikali haiwezi kulipa fedha nyingi kiasi hiki Bila waziri kujua; hakuna waziri aliyewajibishwa. Hivyo pamoja na watumishi WA umma kupitisha maana yake hata waziri alikubaliana na malipo husika ndiyo maana akaruhusu imfikie Mhe. Rais ambaye alibaini madudu.
Maombi ya malipo yalioombwa na kampuni iliyotengeneza ndege; Hadi sasa hakuna sehemu kampuni hii yenye source documents za kuomba malipo imejadiliwa au kusemwa vibaya. Nasema hivi kumaanisha kwamba kama fedha zingelipwa maana yake zingelipwa kwenye akaunti ya kampuni na hivyo Kwa wizi wowote ule lazima syndicate inahusisha watumishi WA kampuni inayotengeneza ndege. Sijamsikia anayelalamikia kampuni tunawalalamikia Watanzania ambao wao siyo watengeneza invoice Bali waliletewa Tu.
Mwisho; naomba pia kufundishwa, spika anashindwa kumpigia Mhe. Rais apate ufafanuzi? Mhe waziri anashindwa kumpigia Rais apate ufafanuzi? Kwanini wakose KUELEWANA wakati wanatambua fika kwamba uongo na ukweli watakaozungumza unawiza kuathiri nafasi ya Mhe. Rais? Wanapata wapi muda wakujadili kauli ya Mhe. Rais kwakujichanganya? Wanataka Mh. Rais atoke kufafanua? Siyo vyema
Hiyo variation ni zaidi ya 100% mkuu, yaani variation inazidi order ya ndege nyingine mpya kama hiyo.Ndio nimekuelewa sana tu variation haiwezi kuzidi 10% variation ya kwetu imeenda hadi 90% ni maajanu sana kwa kweli sijawahi kuyaona duniani
Alichosema yeye kataarifiwa kuna over-invoice. Na akaeleza ongezeko la bei ni inflation adjustments zilizopo kwenye mkataba.Ujue aliyetoa taarifa ya mabadiliko ya invoice ni Rais Samia. Tena akilalamika hadi akaita watu wapumbavu.
Watu / hadi wabunge ni kama hawamwelewi Rais na wanataka kumsaidia achukue hatua.
Kama Rais kafunga aseme bana tufahamu yupo kwenye mfungo
Hilo swala halipo kwenye report ya CAG ya mwaka huu speaker ameshaeleza.Mwigulu ameeleza inavyopasa kufanyika sio alivyofanya, angetekeleza ipasavyo CAG asingepata hojanya kuandika wala neno stupid lisingetikea, pamoja na wizara kuongozwa na doc
Tukiongelea alichokisema mwigulu na alichokiuliza olesendeka , ripoti ya CAG inahusika kwenye malipo ya riba kwa uchelewasheji malipo, na wizara inayohusika na kuwajibishwa ni watendaji wa wizara, na report ya CAG sio hii tu mpina alikuwa anaongelea ripoti ya CAG na kushindwa kufanya kazi ipasavyo wizara ya fedhaHilo swala halipo kwenye report ya CAG ya mwaka huu speaker ameshaeleza.
Raisi alikuwa akilalamikia uzembe uliotokea hivi karibuni, na taarifa zake kazipata kutoka wizara ya fedha kabla awajalipa.
Embu tujenge tabia ya kusikiliza watu wanakusudia kusema nini, badala ya hizi tabia za ‘bias listening’ kukimbilia yale tunayotaka kusikia.
Hayo ya Mpina ungeyaweka pembeni kwanza tujadili contexts za mada husika.Tukiongelea alichokisema mwigulu na alichokiuliza olesendeka , ripoti ya CAG inahusika kwenye malipo ya riba kwa uchelewasheji malipo, na wizara inayohusika na kuwajibishwa ni watendaji wa wizara, na report ya CAG sio hii tu mpina alikuwa anaongelea ripoti ya CAG na kushindwa kufanya kazi ipasavyo wizara ya fedha
nmesoma mpaka uliposema tuweke pembeni , kwa kuwa hyo sentensi haina tija kwa taifa., haitapendeza kuendeleza mjadala na ww , kwa kuwa wa kuwajibishwa kutokana na report za CAG za. Mwaka uliopita na repoti ya mwaka ambayo haijawa public, waziri wa fedha naye inaswa awemoHayo ya Mpina ungeyaweka pembeni kwanza tujadili contexts za mada husika.
Back to the topic.
Let’s recap kilichotokea bungeni siku hiyo alianza ‘Ester Matiko’ kubwabwaja shutuma za invoice ya hiyo ndege ya mizigo kwa jinsi alivyotafsiri yeye na kumlaumu waziri wa fedha kumkwamisha raisi. Waziri akaomba mwongozo na kumwelezea control process za matumizi ya serikali kuu raisi lazima ajuzwe kwanza.
Baada ya kauli ya waziri, Olesendeka kwa kuamini kuna ufisadi kwenye invoice akataka waziri kutomuingiza raisi katika hilo genge.
Ndipo Mwigulu alipofafanua zaidi taratibu zao za matumizi huko juu serikalini.
Alichozungumza Mwigulu kwa watu wa finance ni uelewa wa kawaida achilia serikalini kwenye taasisi yeyote yenye control procedures makini monthly budgets ya matumizi lazima boss mkuu ajue na large budgetary expenses variation kabla ya kulipa lazima boss ajue hayo mabadiliko. If anything that’s a strong control system ya matumizi sio watu wajiamulie tu kama huko kwenye serikali za mitaa na taasisi za kibiashara ambapo watu wanapiga hela wakurugenzi hawajui.
Swala lenyewe uwezekano wa invoice kuongezeka ni hivi kwenye mkataba wa matengenezo kuna kuna kitu kinaitwa ‘transaction price’ (google kwa maelezo zaidi kama uelewi hiyo concept) hii inalipwa kila baada ya hatua za kazi. Na mara nyingi ‘transaction price’ sio fixed huwa ni ‘variable consideration’ (again google the concept for more details) kwa kifupi kuna sababu kadhaa invoice inaweza ongezeka, sababu ambazo raisi kazigusia material inflation price after covid.
Ni hivi sisemi hakuna uzembe kwenye kuingia mkataba ila ukisikiliza kinachosemwa na serikali ni wazi hilo deni ni halali shida ni uelewa tu. Kumalizia Boeing awawezi toa invoice halafu wakarikodi kitu tofauti kwenye ledgers those things are usually numbered and traceable hadi bank na external auditor.
Swala hapo ni kuajiri watu wenye skills sahihi serikalini ndio shida, watu wengi hawana uwezo na Phd zao za Magumashi ndio shida ilipo na kupelekea nchi kupigwa kirahisi hasa kwenye mikataba.