Waliosoma uganda au wenye kujua kuhusu hii kozi ya ufamasia nchini uganda

pharmast

Member
Sep 8, 2024
47
98
Wakuu habari,hivi ni vyuo vikuu gani vizuri Kwa kozi ya pharmacy ngazi ya degree nchini Uganda nataka nimpeleke ndugu yangu akasome huko Uganda msaada wakubwa
 
Kozi ya miaka 4 sio mitatu kama hapa kwetu, vyuo vi kuu vyote vyenye medical courses hiyo kozi ipo.
 
Sawa vp lakini chuo kipi Kiko poa zaidi Katika hii kozi nchini Uganda kama unakijua nisaidie
 
Back
Top Bottom