MK, just heads up Shein yuko India, so nadhani hiyo story ina utata kidogo au labda kama ilikuwa ni rais wa Zanzibar ambaye naamini alikuwa Uganda.
Ebu fuatilia pale kwa wale ndugu zetu ujue ilikuwa vipi mimi niko busy kidogo.
Ni kweli Moelex 23....hawa jamaa walikosea (hivyo hata heading kwenye thread inabidi irekebishwe) aliyekwenda Uganda kumwakilisha JK kwenye ufunguzi wa huo msikiti alikuwa ni Mh. Amani Karume na sio Mh. Shein...kama ulivyoeleza yeye yuko India kwenye ziara.