Hii yote inatokana na kwamba tuliaminishwa maisha yapo shule tena ukiwa na cheti unaajiriwa matokeo yake watu wana struggle mpaka kutumia majina ya wengine na kufoji vyeti ili mradi waajiriwe, kama tungeaminishwa kuna maisha nje ya kuajiriwa basi hao huenda sasa hivi wangekuwa wajasiamari wakubwa sanaHivi mtu anaetumia cheti cha mtu huwa anakuwa na Amani kabisa moyoni mwake?
U might be joking! Thinking of dying coz of this???Kama ni kweli, pls someone should help to arrange my funeral services. Cos I feel am victim too.
Hauna coceptSasa hivi watu fake (walimu na jamaa wa kula dili mjini) wataanza kutokwa na povu kwa kumuita Magufuli dikteta.....Ikumbukwe, unapokuwa na walimu wasio na taaluma matokeo yake ni hii elimu tuliyonayo sasa. Wanafunzi wengi Primamry school wanafikiri Diamond ni waziri wa sanaa. Mwalimu anakwenda kufundisha shuleni akiwa na sufuria iliyojaa pilau na ugali ili mchana wanafunzi wake wamuuzie. Mwanafunzi yuko bize kuuza vyakula vya mwalimu darasani hayupo, mtihani ukija anapewa 100 ya bure, matokeo yake hata kuandika lugha yake ya taifa hajuwi. Napongeza serikali ya Magufuli kwa kila jambo. Bado tu kuwakata pumbu wauza madawa ya kulevya na kuwatumbua Clouds Media, kuna kamchezo mchafu mle ndani na wasanii wa fleva, we all know kwani baadhi ya wasanii wenyewe wanajisema.
Wengi wamekimbia bado BashiteWalijisalimisha au bado?