Walimu wengine nuksi sana

Lakini hizi simu kwa mtazamo mwingine zinaweza kuwasaidia watoto kujifunza vizuri, wanaweza wakawa wanaulizana academic questions on what's up.
 
kweli kabisa...nina shemeji yangu, form six now nakumbuka alikua anataka smart phone basi tricks halizokua ana
tumia ili nimnunulie zilikua hatari sana

Sasa ilikuaje...uliweza kujinasua kwa tricks hizo...au wimbo ule uliimbwa wa: Shemeji, shemeji ......(malizia)
 
Ha
Aaaaaaaaah, wewe dogo (kwangu mimi) una tatizo, yaani uvumilivu ulikushinda????!!!!!.....
Hamna mkuu...halafu kipindi hicho dada mtu tulikua tunazinguana mno, Janja akawa anatumia advantage hiyo, afu kisu kuliko
 
Lakini hizi simu kwa mtazamo mwingine zinaweza kuwasaidia watoto kujifunza vizuri, wanaweza wakawa wanaulizana academic questions on what's up.
Hizi simu ziachane tuu wanafunzi wakae bila simu utasema wawe wanaulizana at the end of the day izo simu zitukuwa zinatumika kweny mitiani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom