Walimu Laki Mbili kugombea Nafasi elfu Kumi na Moja. Wanaotakiwa Oral interview NI elfu arobaini na nne

October 2pm

Senior Member
May 2, 2023
106
281
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..

Nafasi zilizopo 11,000/=
Walioomba. 200,000/=
Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18.

Interview ya Kwanza Written.
Washiriki 200,000
Nafasi zinazogombewa 44,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.

Interview ya Oral.
Washiriki 44000
Nafasi zinazogombewa 11,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.

Mikoa ya kimkakati Kwa àmbao watataka kupita kwenda round ya Oral NI:

1. Mtwara
2. Lindi
3. Ruvuma
4. Rukwa
5. Katavi
6. Kagera
7. Njombe.
8. Kigoma

Watakaoenda Oral Marks ndîo zitawabeba. Utachaguliwa Mkoa wowote.

Leo ndîo mwisho wa kuthibitisha mikoa àmbayo utakuwa comfortable nayo.
 
Sawa katibu wa Utumishi,,,ata ratio ya oral interview hujui
 
Kwani wewe mwalimu hizi takwimu unazitoa wapi? Yaani kila siku unakuja na mapya kuhusu haya mambo ya saili za kada ya ualimu na afya!

Unafaidika nini kila wakati kutaja mikoa ambayo ina watu wengi walioomba wakati huna takwimu sahihi? Au unataka watu wabadilishe mikoa ili hiyo mikoa unayotaja ubaki mwenyewe? Hilo halipo subiri ugombanie goli na wenzio!Unashangaza sana!

Acha kuwapa taharuki watu,huna hata chembe ya taarifa.
 
Kuna jitu Eti leo Linanipigia Nilisaidie namna ya Ku Confirm mkoa,
Namuuliza umesahau? Anasema mtu wa Stationery ndio alinifungulia kila kitu, nilimsaidia ila nimemshangaa sana, mwambie tiktok na Snapchat sasa

Mwingine ka upload Vyeti, Profile picha na CV akajua ndio ashaomba kazi anasubiri interview.

Kuna mijitu ni mizembe sana, Binti wa Miaka 28 Una smartphone, Email yako hujui, Password ndio usiulize, Namba aliyotumia kufungulia anakuambia hajui aliyemfungulia alitumia ipi.

Hii nchi wasomi wapumbavu ni wengi mno,
Hao wote ni Degree
 
Kuna jitu Eti leo Linanipigia Nilisaidie namna ya Ku Confirm mkoa,
Namuuliza umesahau? Anasema mtu wa Stationery ndio alinifungulia kila kitu, nilimsaidia ila nimemshangaa sana, mwambie tiktok na Snapchat sasa

Mwingine ka upload Vyeti, Profile picha na CV akajua ndio ashaomba kazi anasubiri interview.

Kuna mijitu ni mizembe sana, Binti wa Miaka 28 Una smartphone, Email yako hujui, Password ndio usiulize, Namba aliyotumia kufungulia anakuambia hajui aliyemfungulia alitumia ipi?

Hii nchi wasomi wapumbavu ni wengi mno,
Hao wote ni Degree
Mm akaunti yangu ya ajira portal niliijaza mwnyw hadi ikafika 80% yn n vitu vichache sana niliuliza tena humu humu JF na nikamaliza yote mwnyw mpaka ikafika 95%.

Kuna baadhi ya mambo nikiona kijana hawezi kuyafanya hua nashangaa sana ikiwemo hilo la kujaza taarifa ajira Portal.

Kuna vijana ety hawajui kuhusu taesa, ajira Portal, hana kitambulisho chcht halafu huyo huyo n jobless na n mhitimu wa chuo 😂 lkn huyu huyu humwambii kitu khs Instagram na tiktok
 
Boss wasaidie tu walimu wenzangu hamna namna. ukiingia kwenye groups zao maswali wanayoulizana yaani ni majanga.
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..

Nafasi zilizopo 11,000/=
Walioomba. 200,000/=
Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18.

Interview ya Kwanza Written.
Washiriki 200,000
Nafasi zinazogombewa 44,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.

Interview ya Oral.
Washiriki 44000
Nafasi zinazogombewa 11,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.

Mikoa ya kimkakati Kwa àmbao watataka kupita kwenda round ya Oral NI:

1. Mtwara
2. Lindi
3. Ruvuma
4. Rukwa
5. Katavi
6. Kagera
7. Njombe.
8. Kigoma

Watakaoenda Oral Marks ndîo zitawabeba. Utachaguliwa Mkoa wowote.

Leo ndîo mwisho wa kuthibitisha mikoa àmbayo utakuwa comfortable nayo.
Wewe umeyatoa wapi haya?
 
Back
Top Bottom