Natafakari tu hapa kiukweli mishahara yao midogo, mfano mwalimu anayeanza kazi Wa shule ya msingi analipwa Laki NNE na kitu. Duh pesa kidogo sana....
Acha tu wanafunzi waendelee kufail
Ule moyo Wa kufundisha utatoka wapi???kama ndio mwlm...a naenda darasan anawaza atakulajeeeee..akati kuna watu wao kukaa tu wanakula posho ya maana kama wabunge.Hivi kama wanaona ualimu haulipi kwa kuwa mshahara ni mdogo kwa nini wasiache kazi badala ya kufelisha wanafunzi? Hiyo mishahara kama wanaona haifai si waache kazi wapishe wengine ambao wako kibao wanamaliza vyuo kila mwaka?
Hivi hao walimu wanaofelisha wanafunzi wanatofauti gani na wahujumu uchumi? Kwani na wao wanahujumu sekta ya elimu.
Basi,hatuna haja ya kuwalipa mafao Marais wastaafu na watendaji wengine wakubwa kwasababu UMASKINI wetu bado inatamalaki,au hiyo inatofauti gani na hoja yako hapa?Kwa mfano wewe ndiye unayehusika kupandisha walimu vyeo ungeangalia nini ukitaka kuwapandisha.Kusema mwalimu yule anastahili kupanda cheo ungeangalia kitu gani?
Nani kasema kazi ya mwalimu ni kifaulisha?
Mwalimu jukumu lake ni kufundisha,kufaulu inabaki kuwa ni kazi ya mwanafunzi.
Ule moyo Wa kufundisha utatoka wapi???kama ndio mwlm...a naenda darasan anawaza atakulajeeeee..akati kuna watu wao kukaa tu wanakula posho ya maana kama wabunge.
Vyema,sasa hayo yote kuna ngazi nyingine inapima utendaji wa kazi wa mwalimu kuwa kuwa upo katika ubora unaotakiwa,anafundisha vilivyomo kwenye silabasi,na anaeleweka anavyofundisha.Kama hao wote wamehakiki ubora wangu itakuwaje mimi nifuatwe kwa wanafunzi kufeli.Mwalimu sio mhubiri ambaye hajali watu wameelewa au hawakuelewa.Mitihani kazi yake ni kupima uelewa wa mwanafunzi kwenye kile alichofundishwa na mwalimu.Ndio maana walimu hutunga mitihani ambayo si inampima tu mwanafunzi lakini pia inapima kama alielewa alichofundishwa na huyo mwalimu.Sasa kama wamefeli ina maana hawakuelewa walichofundishwa.Yaani mwalimu haeleweki.Sasa kumpandisha huyu mwalimu asiyeeleweka huyu ni sawa?
Kumekuwa na kilio kuwa walimu hawapandishwi madaraja kwa wakati.Kilio hiki kimekuwa kikipelekea wengine hata kuandamana kwenda ofisi za serikali kupeleka madai hayo.
Ukija kuangalia matokeo ya mitihani ya Taifa kwa hao wanaodai kupandishwa madaraja hali mbaya watoto wanakuwa wamefeli hadi basi.
Swali ninalojiuliza hivi kupanda madaraja walimu ni kitu gani huwa kinaangaliwa? Hivi watoto shule wanafeli halafu mwalimu anapanda daraja?????? Hiki si kituko.Nilitarajia ashushwe daraja.Wengi wanaodai hawajapandishwa ukweli ni kuwa hata daraja walilonalo wanatakiwa washushwe.
Nadilchako atusaidie kipimio cha mwalimu kupanda daraja ni nini?[/QUOTE
Hujui lolote zaid ya upeo mdogo wa fikra nakushauri tembelea mazingira ya usomaji wa watoto,na walimu pia mazingira yao yapoje katika shule za serikali ambazo nyingi zipo pembezoni au vijijini hasa baada ya ujenzi wa shule za kata, pia linganisha aina ya wanafunzi wanao soma shule za serikali na private,pitia pia michujo kwa wasio jiweza kwa private na serikaliKumekuwa na kilio kuwa walimu hawapandishwi madaraja kwa wakati.Kilio hiki kimekuwa kikipelekea wengine hata kuandamana kwenda ofisi za serikali kupeleka madai hayo.
Ukija kuangalia matokeo ya mitihani ya Taifa kwa hao wanaodai kupandishwa madaraja hali mbaya watoto wanakuwa wamefeli hadi basi.
Swali ninalojiuliza hivi kupanda madaraja walimu ni kitu gani huwa kinaangaliwa? Hivi watoto shule wanafeli halafu mwalimu anapanda daraja?????? Hiki si kituko.Nilitarajia ashushwe daraja.Wengi wanaodai hawajapandishwa ukweli ni kuwa hata daraja walilonalo wanatakiwa washushwe.
Nadilchako atusaidie kipimio cha mwalimu kupanda daraja ni nini?
,pia pitia ufauru wa kujiunga form one kati ya private na serikali lakin pia usishahau kufanya tathmin ya madhara ya kuto kuchuja wanafunzi wasio na uwezo wa darasani kuanzia shule ya msingi hadi sekondari na hili ndilo tatizo kubwa la kubusha watu ambao ni mzigo mkubwa kwa walimu,
Tizama pia marks zinazo chukuliwa kumpitisha mwanfunzi kidato kimoja kwenda kingine kwa shule za private na serikali
Lakini pia wakati unatafakari hayo usisahau kwamba si binadamu wote wamepewa vipaji vya kuweza kusoma na kufauru kwa marks za juu sababu kuna wenye vipaji vya kuwa mafundi, na wengine kuwa wakulima na wengine kuwa wasanii wa nyimbo na maigizo nk.hizo ni talanta mbali mbali ambazo binadamu tunazo na
huwezi kumlazimisha mtu kufanya vyema katika kipaji kisicho chake.
Lakini pia nadhani jeshi nalo linatakiwa kuto pandishwa daraja la mishahara sababu badi ujagiri upo haujaisha, lakini pia madereva nao wanatakiwa kutopanda daraja sababu ajali bado zipo, lakini pia manesi na madactari pia bado hawatakiwi kupanda madaraja sababu wagonjwa bado wapo na wanakufa pia,
Nadhani mtoa mada unatakiwa kukuza fikra zako kabla hujakurupuka kupost jambo amabali linaonesha ulivyo mweupe kifikra.
Sasa jukumu la msingi la mwalimu ni lipi?Na wapi imekuwa proved kuwa kufeli kwa wanafunzi kumesababishwa na walimu?? Wizara wana tafiti na majibu wanajua source na kamwe hawaangaiki!! Sasa msikimbie majukumu kwa kuwasingizia walimu
Kama huifaham elimu na maswala yanayo husu elimu na ufundishaji na ujifunzaji ni bora ukakaa kimya kabisaaaaa ili kuficha aibu ya kuonekana unaongelea kiti usicho kifanyia tafiti yakinifuNa wapi imekuwa proved kuwa kufeli kwa wanafunzi kumbabishwa na walimu?? Wizara wana tafiti na majibu wanajua source na kamwe hawaangaiki!! Sasa msikimbie majukumu kwa kuwasingizia walimu
Ni kufundisha.Then jukumu la mwanafunzi ni lipi?Sasa jukumu la msingi la mwalimu ni lipi?
Ni mwalimu kuanzia 2009Kama huifaham elimu na maswala yanayo husu elimu na ufundishaji na ujifunzaji ni bora ukakaa kimya kabisaaaaa ili kuficha aibu ya kuonekana unaongelea kiti usicho kifanyia tafiti yakinifu
Hapo jamaa kakosea nini?Kama huifaham elimu na maswala yanayo husu elimu na ufundishaji na ujifunzaji ni bora ukakaa kimya kabisaaaaa ili kuficha aibu ya kuonekana unaongelea kiti usicho kifanyia tafiti yakinifu
yani mkubali mkatae...hiyo lawama ya kufeli wanafunzi hawawezi ikwepa..walimu wanajukumu kubwa la kuwainfluence hawa wanafunzi na wazazi ili wawawezeshe watoto wao wasome na wafaulu pia.na ndiyo maana wanafundishwa psychology..kinachotokea siku hzi walimu wanajitoa na wanamsukumizia mwanafunzi lawama zote.......au siku hizi hawa...mbona mkiitwa ikulu wanapofaulu huwa hamkatai...ila mkiambiwa mmefelisha mnajifanya hamtaki kuhusikaNi kufundisha.Then jukumu la mwanafunzi ni lipi?
Ana majibu mepesi kwenye maswali magumu, swala la elimu tanzania sio la upande mmoja kama wanavyo jadili watu wasio fanya tafiti humu , wanataka hisia zao geuke kuwa uhalisia , nadhan swala la elimu tanzania lina makando kando mengi sana naHapo jamaa kakosea nini?
kama wewe ni mwalimu na una hoja kama hizi nina mashaka na uelwewa wako katika swala la elimu hasa tanzania , labda nipe mda nienelee kukutathimin taratibu kuenda kuna mahali hatuelewani vyemaNi mwalimu kuanzia 2009
Toa hoja.mwl akifundisha,nani anaenda kupitia kilichofundishwayani mkubali mkatae...hiyo lawama ya kufeli wanafunzi hawawezi ikwepa..walimu wanajukumu kubwa la kuwainfluence hawa wanafunzi na wazazi ili wawawezeshe watoto wao wasome na wafaulu pia.na ndiyo maana wanafundishwa psychology..kinachotokea siku hzi walimu wanajitoa na wanamsukumizia mwanafunzi lawama zote.......au siku hizi hawa...mbona mkiitwa ikulu wanapofaulu huwa hamkatai...ila mkiambiwa mmefelisha mnajifanya hamtaki kuhusika
ualimu ni wito jamani..muwe mnawafuatilia wanafunzi hadi majumbani kama vipiToa hoja.mwl akifundisha,nani anaenda kupitia kilichofundishwa
Watoto wenu mmeshindwa kuwalea huko majumbani kwenu mnasukumizia walimu na kuwa-treat tabia zao chafu walizojengewa toka miaka 5.Kuna factor nyingi sana mtoto kufeli,sijui unazijua