Wale wenzangu na mimi mnakumbuka?(picha)

Maisha bana,kuna kipindi ukivaa DH unaonekana mshamba flani hivi....ila aina hiyo ya viatu ndo cku hizi vimejaa tena....na watu wanavaa kwa sana....nakumbuka mzee aliwahi niletea hivyo viatu wakati nipo shule ya msingi nikagoma kuvivaa maana ningechekwa shule.....!!
Mimi Safari boot sikuthubutu kwenda nazo skuli 7bu walikuwa wanatania kishenz ziliitwa ”Mambwa”....ukipita tu utaskia ....wow wow wow Hahahahahaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom