Wale wagonjwa wenzangu wa pumu ( asthma ) tutamtufe Tembo atujambie ili tupone kimoja

Akizungumza moja kwa moja kutokea Ngorongoro ambapo wamewapokea Watangazi wa Kipindi ' maarufu ' kabisa cha Clouds tv 360 mmoja wa Wahifadhi wa Ngorongoro amesema kuwa ile ' harufu ' inayotokana na Kitendo cha Mnyama Tembo ' Kujamba ' kama ukimuwahisha Mgonjwa wa Pumu ( asthma ) mukabala na inapotokea ile harufu ya ' mjambo ' basi huyo Mgonjwa wako atapona huo Ugonjwa na hatokuja kuugua tena hadi dunia nyingine itakapoundwa.

Sasa nitoe tu RAI kwa wale wenzangu na mie wenye hili tatizo au ugonjwa huu wa Pumu kuwa kama vipi ' tujioganaizi ' kisha twendeni ' tukajambiwe ' na ' Tembo ' huko Ngorongoro au hata katika Hifadhi zingine ili tupone ' kimoja ' kwani nina uhakika kuwa wengi wetu sasa hasa tuliopo hapa Dar kipindi hiki cha hali ya hewa hii ya mvua na baridi tunaugua mno Pumu.

Mtakaokuwa tayari kwenda ' kujambiwa ' na Tembao tafadhali tuambiane ila Mimi binafsi kwa jinsi Pumu yangu hii inavyonitesa ' hakyanani ' nipo tayari kwenda hata sasa.

Nawasilisha.
POLE MKUU. PUMU NI UGONJWA WA MZIO,UNAWEZA JAMBIWA BADALA YA KUPONA UKAZUWA MENGINE! KUNA DAWA YA KUKUSAIDIA UKAISHI NA PUMU HATA MIAKA 10 -20 BILA KUKUSUMBUA NA UKASAHAU KAMA UNAPUMU LAKINI HAIPONI!!!
 
Hahahaaa na huo ugonjwa mwingine ulio nao ni lini utatibiwa?!!

Pole sana mkuu nnaimani hujapona pumu ila unajifariji tu. Ukihitaji kupona nitafute nikuhudumie. Sijaanza leo wengi wamepona kupitia kwangu.

Huo ugonjwa wangu mwingine ' Bi. Mkubwa ' wako kila siku huwa ananitibia tukiwa ' faragha '. Hajakutaarifu tu?
 
Huo ugonjwa wangu mwingine ' Bi. Mkubwa ' wako kila siku huwa ananitibia tukiwa ' faragha '. Hajakutaarifu tu?
Hahahaaa mficha maradhi ....
Mi nakufahamu ujue!?
wewe u mlemavu wa masikio au unataka nitupie picha yako hapa jamvini?
Unatukana kisa una Id nyingi sio?
Hahahaaa pole sana mkuu tatizo lako huwa haumalizi dozi, hata ile ya milembe nasikia ulikimbia...
 
Back
Top Bottom