Looo!nchi hii sijui ina laana?bila aina hii ya uongozi hatuwezi kufika maana kila mtu ni mjuaji tumezoea kuhamisha ajenda na kusahau issues za msingi 1.madawa ya kulevya,2.vyeti feki,.kutelekeza watoto haya yamalizwe kwanza kabla hatujahamia kwenye issue mpya.