Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,612
- Thread starter
- #21
Umeisahau ile tume pori ya uchaguzi, ambayo mfumo wa nchi uliweza kuitia nguvuni?.Wawatakia nini?? Upuuzi huo unapatikana lumumba ukawa hawana hata kidogo
Umeisahau ile tume pori ya uchaguzi, ambayo mfumo wa nchi uliweza kuitia nguvuni?.Wawatakia nini?? Upuuzi huo unapatikana lumumba ukawa hawana hata kidogo
Upo msemo humu JF kwamba kuna vijana 46 ambao hulipwa buku saba (tshs 7,000) kila wanapoleta habari za kuitetea CCM au kila wanapoiandika vizuri. Lakini kwenye siasa za vyama vingi nadhani kwamba CCM hawapo peke yao katika kuwa na vijana wa kazi kwenye mitandao. Ikiwa wale wa CCM wapo 46, Upinzani una vijana wangapi?. Maana nadhani kwamba ni wengi zaidi hata ya mara kumi kulinganisha na hao 46 wa CCM.
.
Babatovu.. Salama??? Umenena vema, nipe ramani nikutafute jioni tupige mvinyo Huku tukisikiliza Pesa position ya Madiluu.Wa upinzani ni wale wote walio mpigia kura za ndiyo Mh.Edward Lowassa. Kwa mujibu wa NECCCM ni ziadi ya million 6. Lakini kwa imani yetu kwake tunaamini tulikuwa zaidi ya million 10.
Ngoja bunge lianze halafu uone bajeti itakavyokuwa inapita kwa kutegemea wingi wa wabunge wa CCM ndipo utajua kama hicho chama kipo au kimeshakufa.Kwani CCM bado ipo?? Mi najua kabaki Magufuli tu??
we jamaa kuchwa uendelee kuishi mtaan hali yko ya afya ya akili ikiwa imedhoofika kiasi hiki ni aina nyingine ya jipu lililoko serikali ya mtaa wako pamoja na maafisaa wa afyaKuna Mburula 191 walikamatwa na polisi wakichakachua matokeo. Hao ni baadhi tu ya manyang'au ya UKAWA. Wapo pia akina Yeriko Nyerere, Michael Aweda, Mungi, Crashwise nk. Hawa wapo zaidi ya 300 lakini uwezo wao haulingani hata na wana Lumumba watano
Kuna Mburula 191 walikamatwa na polisi wakichakachua matokeo. Hao ni baadhi tu ya manyang'au ya UKAWA. Wapo pia akina Yeriko Nyerere, Michael Aweda, Mungi, Crashwise nk. Hawa wapo zaidi ya 300 lakini uwezo wao haulingani hata na wana Lumumba watano
Kamlaumu mwenyekiti wenu aliye waumbua,nawe ni mmoja wao wale buku 7 sasa umeumbuliwa unaona sooooo?Upo msemo humu JF kwamba kuna vijana 46 ambao hulipwa buku saba (tshs 7,000) kila wanapoleta habari za kuitetea CCM au kila wanapoiandika vizuri. Lakini kwenye siasa za vyama vingi nadhani kwamba CCM hawapo peke yao katika kuwa na vijana wa kazi kwenye mitandao. Ikiwa wale wa CCM wapo 46, Upinzani una vijana wangapi?. Maana nadhani kwamba ni wengi zaidi hata ya mara kumi kulinganisha na hao 46 wa CCM.
Wakati wa kampeni ulinaswa mtandao fulani ambao kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, hao waungwana walikuwa ni mafundi wa masuala ya mitandao ya internet. Walikamatwa na nadhani kesi yao ipo mahakamani mpaka sasa. Hivyo ikiwa CCM inao vijana 46, nadhani wale wa upinzani watakuwa ni wengi zaidi, ingawa wanaoshambuliwa ni hao wachache.
Propaganda za kisiasa zinakuwa na faida na hasara zake kwa jamii ile ile moja. Mtu anakifaa chama kwenye mitandao ya habari na chenyewe kinamfaa maishani. Hizi ni fursa zilizoibuka katika ulimwengu wa siasa za vyama vingi.
UmemalizaPoint ya kweli, wakati mzee wa monduli akiwa hewani ndani ya chopa, yule mwenyeji wa chato alikuwa akikatiza nchini ndani ya gari, sura ikiwa nje ya sehemu ya nyuma ya landcruiser anapigwa na jua huku msafara wake ukisimama njiani mara kwa mara. Halafu mwenyeji wa chato akiwa waziri wa miundo mbinu alizoeleka sana huko mikoani akiwa kwenye ukaguzi wa barabara, wananchi wakamuona kama mwenzao zaidi. Mzee wa Monduli aliathiriwa na kupotea kisiasa kuanzia mwaka 2008 baada ya kujiuzulu uwaziri mkuu. Ingekuwa ni vigumu kwa mtu ambaye amekaa kwa miaka saba nje ya utendaji wa serikali kushindana na mtu ambaye ameingia kwenye kampeni akitoka kuwa waziri wa wizara ambayo ilimfanya aonekane na awe karibu na wananchi.
Hujaijibu hoja ya msingi, chadema inao wangapi kama wewe?Kamlaumu mwenyekiti wenu aliye waumbua,nawe ni mmoja wao wale buku 7 sasa umeumbuliwa unaona sooooo?
Cdm inatekeleza mambo yake kwa kufuata taratibu zake,siyo lazima kuifuatisha ccmHujaijibu hoja ya msingi, chadema inao wangapi kama wewe?
Vipi kuhusu wale waliokamatwa wakati wa uchaguzi mkuu halafu Mbowe na Mwalim wakaenda kusaidia kuwachomoa pale mahakama ya kisutu?. Jambo limetokea miezi mitatu iliyopita, leo hii umeshalisahau?. Kazi inayoweza ni kutazama mabaya ya CCM ya chama chako wala huna ujasiri wa kuyazungumzia.Cdm inatekeleza mambo yake kwa kufuata taratibu zake,siyo lazima kuifuatisha ccm
Cdm ni chama makini huwezi kukilinganisha na chama cha mazombie
Amakweli mazombie utayajua tuView attachment 323555Vipi kuhusu wale waliokamatwa wakati wa uchaguzi mkuu halafu Mbowe na Mwalim wakaenda kusaidia kuwachomoa pale mahakama ya kisutu?. Jambo limetokea miezi mitatu iliyopita, leo hii umeshalisahau?. Kazi inayoweza ni kutazama mabaya ya CCM ya chama chako wala huna ujasiri wa kuyazungumzia.
Kuna Mburula 191 walikamatwa na polisi wakichakachua matokeo. Hao ni baadhi tu ya manyang'au ya UKAWA. Wapo pia akina Yeriko Nyerere, Michael Aweda, Mungi, Crashwise nk. Hawa wapo zaidi ya 300 lakini uwezo wao haulingani hata na wana Lumumba watano
Mmawia akili yako inatabirika sana, kila unavyokuwa kwenye majibizano yanayohusu mada mbalimbali hauchelewi kuiweka picha ya huyo kiumbe wa Mungu. Wewe ni mpambe wa mzee Lowassa kiasi ambacho huwezi kujitoa kwenye huo mtego. Inawezekana wakati kule Mara na Mwanza wakati vijana wanampigia deki mzee, wewe hukuwa nao kimwili ila kiakili ulisaidia katika kutafuta matambara ya kudeki barabara. Watu aina yako wewe ni mtaji wa wanasiasa wengi uchwara wa bara la Afrika. Yaani kama wapambe kama wewe wakiwa wengi, ndio tunapata viongozi wajinga wajinga wanaolitia aibu bara letu, kiasi ambacho Donald Trump anaamini kuwa linapaswa kutawaliwa kwa mara nyingine tena.Amakweli mazombie utayajua tuView attachment 323555View attachment 323556
Naona ndio umeachiwa funguo ya Lumumba wenzako wote wamepata vyeo wewe ndio umeachwa hapo kudeki chooKuna Mburula 191 walikamatwa na polisi wakichakachua matokeo. Hao ni baadhi tu ya manyang'au ya UKAWA. Wapo pia akina Yeriko Nyerere, Michael Aweda, Mungi, Crashwise nk. Hawa wapo zaidi ya 300 lakini uwezo wao haulingani hata na wana Lumumba watano
Trump yupo sahihi kwa 100%maana viongozi wenyewe kama ndio hawa tulio nao wa afrika kina nkurunzinza wa burundi, kule zenji na vibaraka wao kina Bukililo afrika bado tunawahitaji sana wazungu waje watutawaleMmawia akili yako inatabirika sana, kila unavyokuwa kwenye majibizano yanayohusu mada mbalimbali hauchelewi kuiweka picha ya huyo kiumbe wa Mungu. Wewe ni mpambe wa mzee Lowassa kiasi ambacho huwezi kujitoa kwenye huo mtego. Inawezekana wakati kule Mara na Mwanza wakati vijana wanampigia deki mzee, wewe hukuwa nao kimwili ila kiakili ulisaidia katika kutafuta matambara ya kudeki barabara. Watu aina yako wewe ni mtaji wa wanasiasa wengi uchwara wa bara la Afrika. Yaani kama wapambe kama wewe wakiwa wengi, ndio tunapata viongozi wajinga wajinga wanaolitia aibu bara letu, kiasi ambacho Donald Trump anaamini kuwa linapaswa kutawaliwa kwa mara nyingine tena.