Wale tuliosoma boarding mnakumbuka kipindi kilichoitwa "Pumbu erosion "?

kumamake huo ugonjwa ulinipata form six wakati nmetoka kupiga pepa ya physics, sasa ile dawa yake kama mafuta ukipata hutakiwi kugusa pumbu wala kukuna na inawasha kama upupu
 
Ndanda boyz nakili kuitambua pumbu èrosion ila wa PuGu boyz wazee wa pond pale ndo palikuwa makao makuu ya fungus wà pumbu a.k.a pumbu erosion
 
Kuna dawa fulani maji ya kijani ivi aiseeeee ukipaka ile unaweza jikuta umetokea assembly uchi wa mnyama kwa jinsi inavyouma baada ya hapo P inakauka na ngozi inababuka heeeee heeee usiombe msimu ule maana bweni linakua na harufu fulani ivi na hakuna wa kumcheka mwenzie.
ilikuwa dawa ya mateso sana hiyo…dawa yake ni mycota powder
 
Kuna ule ugonjwa Mzumbe unaitwa Zongweliasis Mzumbeata... Yan sura inavimba utadhani ulivamiwa na majambazi na kupewa kipondo.
hapana siyo huo, huu unakuwa kwenye mikunjo ya ngozi sehemu za siri! Napo pia ulijurikana kama Pumbu erosion!
 
Oh, nafurahi kuwa ulipona na tatizo lako la fungus…japo nimekuta umepona, nakupa pole kwa mateso yaliyokupata!
tatizo ulilokuwa nalo ni kweli kabisa ni fungus, nilipokuwa sekondari niliwaji kupata na iilisababishwa na kuvaa chupi bila ya kujifuta maji mara baada ya kuoga au kujitawaza! Pia kurudia kuvaa chupi bila kufua…kwa kifupi ni uchafu na unyevunyevu ndio haswa ndio visababishi vya kuwafanya kuvu (fungus) hao kuota na kukua.
dalili ni hizohizo kujikuna sana hata kujichubua ngozi na kusababisha majeraha ambayo hutoa majimaji na baadaye kuweka tabaka gumu ambalo pia huwasha sana. Ukioga maji ya baridi utapata maumivu siyo ya dunia hii na hivyo unashauriwa kuoga maji ya vuguvugu! Mara unapooga zingatia kujifuta vizuri na upake antifungal powder na siyo dawa yoyote ya cream au majimaji. lengo ni kutengeneza mazingira makavu ktk maeneo ya sehemu za siri. na kumbuka kupiga pasi taulo ili kuua kuvu wanaojishikisha kwenye taulo. Pia ukumbuke kuvaa chupi safi na kamwe usurudie kuvaa chupi chafu.
Dawa kama mycota powder ni kiboko kwa aina ya kuvu hawa na ukianza kuitumia matokea ni ndani ya masaa 24 hali inadarikia na unapomaliza wk unakuwa na dalili za kupona kabisa. Lakini hata hivyo unapaswa uendelee na matibabu kwa takribani wiki mbili baada ya dalili zote kupotea.
Niseme tena pole sana kwa maswahibu yaliyokukuta na samahani kwa kuwa sikutembelea janvini kwa kipindi kirufu sana.
enzi hizo mimi niliubatiza ugonjwa huo wa fungus kama 'pumbu erosion' yaani 'mmomonyoko wa korodani/mapumbu!
 
Kitaalam Tuliita P.E hahaha au P...u.mb Jeroo wengine Pu.mb disease iko ni Kitu cha Fungal Infection Hatari Saana
 
Mkuu hiyo dawa ya kijani ipo kwenye kichupa hivi kidogo chembamba kirefu.Ukiipaka lazima uchuchumae ili Pumbu zipigwe upepo angalau dk 2. Baada ya siku kama mbili ngozi ya pumbu inatoka kama unavyomenya ndizi.
Hii dawa inaitwaje??,
 
Hii dawa inaitwaje??,
Nami nimesahau jina, lkn ni dawa effective sana ya mba na magonjwa ya ngozi. Ukiulizia madukani huenda ukaipata, ina kachupa kembamba karefu. Ni dawa ya maji. Inawasha sana ila ni tiba mujarabu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom