Wale mnaotaka kuja Ulaya kufanya kazi na hamna elimu, kazi pekee mtakayopata ni kuzoa taka

zipo nyingine nyingi tu, kuna zile za kutunza vizee tena vingine vina dementia vitakutemea hadi mate, kuna kusaidia fundi kwenye magereji, kuna kufukua mitaro hata kama vinyesi vyao vinatokana na pizza, ukipata dili la saidia fundi kwenye uvuvi hata kama ni kupakua au kupakia samaki au kusafisha n.k, kazi zipo ila hela yake utakuwa na uchungu nayo sana.

wengi wa wanaoenda ulaya bila kisomo na hawapati kazi wanaishiaga kuwa mashoga tu kwasababu kwa hakika wamagaribi huwa hawasaidii mtu. hao wazungu unawaona wanakuja huku wanajifanya kutoa msaada usifikiri wakimkuta mwafrika kule watampa msaada, ni wachungu kinoma.
 
Ni kweli lakini hizo kazi ulizo sema mpaka uende kozi yake pasipo kwendakujifunza hupewi hizo kazi ila kazi ya kubeba takataka haina kozi unakwenda kuomba na una ajiriwa tu.Kazi za Kubeba takataka Ulaya wanaofanya kazi wengi ni Wahindi Wa-Romania na mataifa mengine ya kiafrika .Wazungu ni wachache sana kufanya kazi hiyo ya kubeba takataka.
 
Kama kazi ndo hiyo poa tu, kamaa yuko sopsop katupia viwalo vya haja, huku kwetu hukawii kumwona prof akiliwa mitama na wapiga beleshi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom