Walafi wanaziteka sherehe za Idi. Serikali iingilie kati

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,472
11,455
Waislamu wanatumia muda wa mwenzi mzima kwa ibada nzito ya kufunga na pia wanatumia gharama nyingi kwa maandalizi ya sikukuu ya idi ambayo nayo kusherehekea kwake kuna maelekezo ya kiibada.
Kuna mafisadi walafi na makafiri huwa wanawaangalia tu waislamu ili ifikapo siku ya idi wawaharibie kila kitu.Kichocheo kikubwa cha mafisadi hao ni kuona siku ya idi kuna pesa nje nje ambazo wazazi huzimimina kwa watoto wao ili wafurahi siku hiyo.
Watu hao sambamba na matayarisho wanayofanya waislamu katika kuswali idi na kutembeleana na kula na kuvaa vizuri,na wao huwa wanatayarisha viwanja vya kuwavuta watu kwenye maeneo yao ya kifisadi.
Wanawawekea vijana mangoma ya kishenzi na kujaza biashara maeneo yao.Kutokana na watoto na wazazi kuwa wengi wengi mno basi hata maeneo ya kusherehekea huwa hayatoshi na waislamu hasa watoto mara hutumbukia kwenye maeneo hayo machafu na kuharibu ladha ya siku ya Idi.
Wito wangu ni kwa serikali kudhibiti vibali vya ruhusa za kukushanya watoto kwanza kutaka kujua mapema mambo yatakayokuwepo kwenye maeneo waliyopanga kuwavuta watu.Kama kuna ngoma na kamari na mengine ya ovyo ya kuharibu maadili basi wasipewe ruhusa.
Zaidi ya hapo mtu ambaye si muislamu asiruhusiwe kabisa kukushanya waislamu kwa ajili ya kujipatia pesa za idi.
 
Afadhali mfunge mwaka mzima kwa sababu mtatupunguzia jam kwenye nyama yetu ile. Sasa ivi mmefungulia mnatumalizia ile nyama na kutujazia vyumba lodge as if mnasafiri kumbe mnatoka Dar mnaenda dar🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwani Kuna mtu anakutoa nyumbani kwako kwenda kwny hayo maeneo?Kama Kuna tatizo unasherekea na family yako nyumbani kwako.
 
Back
Top Bottom