Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,690
Hahaaaa jamaa kwa maigizo unatisha
ahahaaa inapidi tukapige kwanza ramli sio mchezoIla na sie wanawake kama ni hizi chupi tunajua kuzivua jamani! yaani mwanamme hata mkiwa mnaongea awali kabla ya shughuli huwezi kum notice kuwa kuna vijimisumari vimelegea kidogo!!!!!!
Sasa Miss Natafuta wangu mtu kama huyu Deo japo simjui sura lakini naamini anavyopost hapa ndivyo alivyo, halafu eti nimvulie tena peku peku hadi mimba inatinga, shiti, kiruuuuuu, mfyuuuuuuuuuuu! wai! chaaaa!ahahaaa inapidi tukapige kwanza ramli sio mchezo
Si aende hata mbuga zetu za wanyama ata refresh pia kwa kuwaona faru hadija, faru chikira na wengineoMkuu ungekua na hela kiasi ningekushauri uchukue likizo uende mbali kabisa ikiwezekana hata nje ya nchi, u-refresh mind, huko usifungue JF wala facebook, wala usiwaze kabisa kuhusu CCM na walivyokufanyia,
Ukikaa kama mwezi hivi utarudi ukiwa OK, lasivyo unaelekea kubaya kwa kweli
kweli atakua anaumwa hayuko sawa uyo alafu stor yake fika ni uongo mtupuYanga na Mtibwa sugar wamecheza wametoka Makonda leo alikuwa KKKT Kimara njaa imeuwa watu 148 Somalia kesho ni jumatatu muwahi ukame umezidi kushika kasi Azam FC ipo nafasi ya jua sasa limekuwa kali balaa.
Nakushauri ukapimwe wewe badala ya wenzako......
Seriously Deo unaumwa. Ingekua nchi za wenzetu sasa ungekuwa chini ya Uangalizi wa daktari wa Magonjwa ya Akili.
hana mke sia anadai kaza zaa ovyo na wanawake wanne bila ndoa zazazi wa hawo wanawake ndo wakwe zakeWewe Deo unamatatizo makubwa sana Psychological nakushauri utembelee wataalam wakushauri otherwise naona kila unachoandika kinamadhara kwenye future yako, kwa kifupi unastress kubwa sana
Na kama hii kwako ni Tabia basi hutaweza kuishi na mwanamke wa aina yeyote maana unaweza kubishana jambo dogo wewe ukaliandika facebook.
Wakwe zako akina nani..?
Wewe Deo wewe, si huna mke..!![]()
![]()
Chikira usinichekeshe bwanaSasa Miss Natafuta wangu mtu kama huyu Deo japo simjui sura lakini naamini anavyopost hapa ndivyo alivyo, halafu eti nimvulie tena peku peku hadi mimba inatinga, shiti, kiruuuuuu, mfyuuuuuuuuuuu! wai! chaaaa!
hahahahahaahah, tena wanawake wane (4) wote kawazalisha hawamuoni kweli kuwa sio wa kawaida!Chikira usinichekeshe bwana
Mkuu hofu ya nini sasa mambo yako yakijulikana, na wewe ni walewale akina Daudi Bashite???Ndugu wanajf ninyi ndio jamii kubwa yakutoa ushauri mzuri hapa Tanzania, mimi nimebahatika kupata takribani watoto 4 na kila mtoto na mama yake kulingana na mazingira ya kiafrika. Lakini cha kushangaza wakwe zangu wamegeuka kuwa wajuvi wa mambo, yaani wao basi kila kitu wakiuliza kuhusu mimi wao wanatoa taarifa yaani taarifa za Uongo mwanzo mwisho.
Hivi mwanamke ukizaa naye ndio anakuwa ameshakujua maisha yako yote....,tena sio mkeo, hivi mwanamke ukimuoa hata mambo yako mengi hajayajua na ukamuacha ndio kishawajua mpaka marafiki zako ambao hata hujawahi kumtambulisha......,
Mimi nashangaa imefikia hatua wakwe zangu wameunganishwa na wanasiasa ili wanivuruge wakitoa taarifa za uongo kila wakati. Yaani hawana hata uelewa wa Ukoo wangu wala maisha yangu wala elimu yangu wala mapito yangu, lakini taarifa wanazotoa kwa jamii ni za kushangaza sana, mpaka nabaki na shangaa sana, tena wakwe wenyewe hata siwajui hata kwa sura ila kwa kaumarufu kangu wao wanalazimika kunijua.
Ndugu zangu hata michepuko nayo inatoa taarifa za kubumba bumba, hivi sisi Watanzania tunatabia gani....mbona kila kipya kinyemi kinakuwa gumzo...kuoa familia zetu hizi za uswahilini yataka MOYO.
Mfano mkuu kuna mmjomba mkwe mmoja anafanya kazi pale njia ya kuelekea magogoni hana hata ABC zangu lakini anavyopotosha juu yangu na kuwalazimisha jamii inayonizunguuka waniwekee vikwazo (mwipae nilisha achana naye na ameolewa). Majangaaaaaaaaaaa
Deogratius Nalimi Kisandu
Mtemi Kiongozi wa chama tarajiwa cha ACA.
NAOMBENI USHAURI.
Hahaha Mkuu nimecheka balaaa! kiukweli Deo ana tatizo kubwa hasa la kisaikolojiaDeo kila nikisoma mabandiko yako huwa ninabaki mdomo wazi. Kuna tatizo kubwa linalokukabili.
Kuhusiana na hili la wakwe kupimwa akili, ninakushauri kwa moyo wa dhati kabisa usindikizane nao mpatiwe huduma wote.
Ukiona wanachelewa, bora wewe uwahi.
Utamu ukikolea mkuu 1/3 ya akili huwa inaondokaSasa Miss Natafuta wangu mtu kama huyu Deo japo simjui sura lakini naamini anavyopost hapa ndivyo alivyo, halafu eti nimvulie tena peku peku hadi mimba inatinga, shiti, kiruuuuuu, mfyuuuuuuuuuuu! wai! chaaaa!