Wew jamaa😅😅😅Imejaa tele kama pishi la mchele mkoani ukerewe alipopapenda kabelele na mahele walikula na matembele ya njegere na za mbwa kengele wakapata upele kwenye wezere
Hongera mama kijachoWakuu nisaidieni hivi hapo mimba itakuwepo au haipo?
View attachment 3099947
KwaniniWee jiandae kujifungua tuu
Mzigo umetik huoKwanini
Kivipi wakati mstari umefifiaWee jiandae kujifungua tuu
Kidume gani tusi tishane basiKidume hicho
Mbona vitishoTiyari mzigo
MasiharaTiyari mzigo
Mbona unanitishiaImejaa tele kama pishi la mchele mkoani ukerewe alipopapenda kabelele na mahele walikula na matembele ya njegere na za mbwa kengele wakapata upele kwenye wezere
Kimoja hafifu bhnVimistari viwilia unalea.