Wakuu Natafuta ajira au mchongo wowote wa kufanya

Jan 20, 2025
21
29
Wakuu bado sijapata mchongo kama kuna mchongo wowote au ajira me bado natafuta ni kijana wa miaka 22 nishafanya kazi sehem tofaut tofaut pia nnaufanis wa quality na marketing pia kwa sasa natafuta ajira yoyote kama kuna mchongo bandarin au sehem yoyote ya mauzo au kazi yoyote ila me niko tayar
 
M

Mwanaume usichangue sehemu ya kazi,nenda kafanye kwamalengo ukitimiza malengo unasepa
Ila kila la heri endelea kutafta dar.
Chai ni mafinga I think, kuna nauli hapo, pia gharama za makazi na malazi. Tunapambana ndio lakini kuna muda unaweza kuwa sahihi kukataa baadhi ya kazi
 
Wakuu bado sijapata mchongo kama kuna mchongo wowote au ajira me bado natafuta ni kijana wa miaka 22 nishafanya kazi sehem tofaut tofaut pia nnaufanis wa quality na marketing pia kwa sasa natafuta ajira yoyote kama kuna mchongo bandarin au sehem yoyote ya mauzo au kazi yoyote ila me niko tayar
Fika Sinza Vatican
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom