baba na baba
Member
- May 31, 2024
- 27
- 33
Haribani wana jf naombeni ushauri juu ya matumizi ya mouth spray.
Na niipi nzuri Kwa matumizi 🙏
Na niipi nzuri Kwa matumizi 🙏
Brotha what happened?Haribani wana jf naombeni ushauri juu ya matumizi ya mouth spray.
Na niipi nzuri Kwa matumizi 🙏
Una tatizo gani? Hii itasaidia watu kukupa ushauri unaofaa.Haribani wana jf naombeni ushauri juu ya matumizi ya mouth spray.
Na niipi nzuri Kwa matumizi 🙏
Nasumbuliwa na tumbo kuwaka moto, nahisi kukabwa na kitu kooni, natoa vitu vidogo vidogo kama mabaki ya chakula yaliyo Ganda kwenye Koo, sauti kukata nikiongea kwa sauti ya juu na kutoa harufu mbaya kinywa.Una tatizo gani? Hii itasaidia watu kukupa ushauri unaofaa.
Pole sana. Ni nani kakumbia utumie hiyo mouth spray? Tatizo lako linahitaji uchunguzi wa drNasumbuliwa na tumbo kuwaka moto, nahisi kukabwa na kitu kooni, natoa vitu vidogo vidogo kama mabaki ya chakula yaliyo Ganda kwenye Koo, sauti kukata nikiongea kwa sauti ya juu na kutoa harufu mbaya kinywa.
Jamani hata sielewi nini kinazungumziwa hapa, nimetoka Church bado nina upako 😅binti kiziwi njoo utoe msaada mwaya.
Naitaji kutumia kwajili ya kupungiza harufu kinywani wakati naendelea na matibabuPole sana. Ni nani kakumbia utumie hiyo mouth spray? Tatizo lako linahitaji uchunguzi wa dr
Ok. Kumbe ulishamwona dr. Nimeelewa sasa. How about listerine mouth wash? Umeshawahi kuitumia? Unasukutua mdomoni.Naitaji kutumia kwajili ya kupungiza harufu kinywani wakati naendelea na matibabu
Kaka anataka tumsaidie dawa na hatujui hata anaumwa nini. Muombee na upako uliotoka nao kanisani leo, anaweza akasaidika.Jamani hata sielewi nini kinazungumziwa hapa, nimetoka Church bado nina upako 😅
Piga mswaki kila mara badilisha dawa ya meno achana na haya ma whitedent. Safisha ulimi na kwenye magego. Inatisha ila nenda Ocean Road ukafanye vipimo hasa koo na hiyo sauti kukwangua nina ushahidi mbaya wa tatizo lako. Wahi vipimo.Nasumbuliwa na tumbo kuwaka moto, nahisi kukabwa na kitu kooni, natoa vitu vidogo vidogo kama mabaki ya chakula yaliyo Ganda kwenye Koo, sauti kukata nikiongea kwa sauti ya juu na kutoa harufu mbaya kinyw
PNaitaji kutumia kwajili ya kupungiza harufu kinywani wakati naendelea na matibabu
Matumizi yake?Ok. Kumbe ulishamwona dr. Nimeelewa sasa. How about listerine mouth wash? Umeshawahi kuitumia? Unasukutua mdomoni.
View attachment 3006541
Imeandikwa. Kma unataka mouth spray ya hiyo Listerine pia iko na nadhani ndiyo nzuri inakufaa. Una spay mdomoni na unaweza kutembea nayo. Matumizi yake yameandikwa kwenye chupa na pia ndani kuna karatasiMatumizi yake?
Matumizi yake?
Shuklan mkuu 🙏Imeandikwa. Kma unataka mouth spray ya hiyo Listerine pia iko na nadhani ndiyo nzuri inakufaa. Una spay mdomoni na unaweza kutembea nayo. Matumizi yake yameandikwa kwenye chupa na pia ndani kuna karatasi