I LOVE YOU DUCE
Member
- Mar 21, 2024
- 30
- 134
Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu.
Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka kuniua (mwezi wa nne sasa na kula mlo mmoja tu tena wakati wa usiku).
Sasa hapa nimemaliza Kuweka hesabu na bajeti vizuri juu ya boom ambalo linaweza kutoka kesho, kwa Kwel wakuu naona na kwenda kuwa kichaa mwenye msongo mkali wa mawazo.
Nikilipa ada na michango nayo daiwa hapa chuo, na Kodi napo kaa, pamoja na boom advance nabakiwa na elfu hamsini mbili tu. Hapa bado chakula na mahitaji sijanunua.
Wakuu, kama Kweli ni mateso nayapitia, pesa hii hata chakula cha kunifikisha mwezi wa Saba haitoshi.....
Bado assignment, wakuu kama Kuna legal au illegal issues yoyote mtu yupo nayo naomba anipe japo ni toke kwenye Hali hii ya maisha.
Sina ndugu wa kumlilia Hali anipe pesa, wote Hali ngumu maskini najua hata Wao wanatamani kunishika lakin Mambo ni mabaya.
Hapa kichwa kinauma, Sana.
Japo nasoma kwa bidii sana, na Matokeo yangu na mshukuru Mungu si mabaya Lakini ndugu yangu muda mwingine nashidwa.
Mungu ni saidie sana