Wakuu Kwema;nikiwa na milioni 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi maeneo ya Bagamoyo?

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
213
491
Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga
nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
naombe ushauri wenu.
 
Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga
nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
naombe ushauri wenu.
Utajenga myumba ya 2 bed rooms, 1 kitchen, 1 seating room, 2 toilets.
Utapiga plaster nje na ndani, utafanikiwa kufanya skiming ndani na kupaka rangi.
Utaweka water lines, umeme, itatosha kuweka taa na utafanikiwa kuweka jipsam.
Sakafu utaiweka ingawa unaweza usifanikiwe kumaliza kuweka tailes nyumba nzima.
Hautofanikiwa kuweka uzio, lakini bati utafanikiwa kuweka la msauzi.
 
Million 20 HII HII ninayoijua MIMI tuanze na Bei ya Mfuko 1 wa Cement
 
Ww anza ujenzi kwa 100% usimamizi uwe ww mwenyewe TU. Yani macho macho TU.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kahela ni kadogo mno, Ili ushauri ni kuanza utakapoishia utajikongoja, pia ondoa wazo la kujenga nyumba ni kuisha Kwa pesa hiyo, utakuwa disappointed.
Fundi kujenga
Fundi plasta
Fundi kupaua
Fundi umeme
Fundi bomba
Fundi shimo la choo
Hawa tu wenyewe watakula kama m 3 hivi, Sasa wewe
Hesabu una milioni 17, hapo Kuna usafiri wa kupeleka materials, kununua maji, kiufupi Kuna kitu kinaitwa contingency hizi ni gharama ambazo zinatokea hukupanga, na zinaweza kuwa Hadi asilimia 10, kama milioni mbili ukitoka unabaki na mil 15. Ndo ununue materials ya kumaliza nyumba nzima, labda ujenge chumba na sebule
 
😃 we plan nyumba unayoihitaji, kama ni vyumba viwili, vitatu, sita, nane.....then ingia site.

Humu tutakuchosha akili make wengine m20 wamejengea tu mabanda ya mbwa.
 
Hiyo pesa kwa bagamoyo unajenga vyumba vitatu na sebule,kikubwa punguza kona na dead places,

Utaanza chini mpaka juu yaani paa,utaweka milango pamoja na madirisha ya nyavu.suala la finishing itabid ujipange upya uongeze kama 5m(finishing ya kawaida)
 
Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga
nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
naombe ushauri wenu.
Vyumba 2 ,jiko,sebule ,bafu na choo na store.Lete raman tukutolee kitu hicho
 
Back
Top Bottom