Wakuu angalieni kazi ya mwana jf mwenzenu mnipe kazi

MKONGORO

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
343
304
Wakuu mimi ni zao la hapa JF
mara kadhaa Jf imekuwa kimbilio langu pale nilipo yumba kiuchumi nika kimbilia hapa niliweza kusaidiwa vya kutosha wachache wanaweza kukumbuka jina Mkongoro mwaka 2015. kwa muda mrefu nimejifua katika decoration za mawe na sasa nathubutu kusema nimeiva vilivyo katika kazi hizi za decoration ya kutumia mawe aina zote 0714 372970 karibuni mnipe kazi ndugu yenu
 

Attachments

  • 20240912_180635.jpg
    20240912_180635.jpg
    1.9 MB · Views: 5
😄 Mimi ni mkubwa nil
Hongera sana dogo hahhaa ila najua utakua mdogo

Napenda sana hiyo hapo decor hivi bei zake si huwa juu sana
Na je unaweza ifanya kwenye nyumba yazamani

Hongera sana dogo hahhaa ila najua utakua mdogo

Napenda sana hiyo hapo decor hivi bei zake si huwa juu sana
Na je unaweza ifanya kwenye nyumba yazamani?
Inaweza fanyika kwa jengo lolote pia gharama inategemea na aina ya Mawe unayotaka maana yapo yanayo agizwa toka Tanga, Babati na kwingineko
 
Back
Top Bottom