Wakurugenzi tulioachwa kwenye uteuzi uliofanywa na Rais Magufuli

daaa na kazi yote waliyofanya october 2015 kuhakikisha chama kinaendelea kushika hatamu, wametmbuliwa???

Tanzania yangu tamu sana
 
Kuna wakati CCM ilihusianishwa na "Chukua Chako Mapema"

Nadhani WATEULE wote wanaijua kanuni hii

CCM ni ile ile.
 
HV hawa watakwenda wapi ,wengi wao miaka ya kustaafu bado kabsa.
Kuna taarifa kwamba utaratibu wa mkuu wote ambao wanaondolewa katika nafasi mbalimbali kufuatia teuzi zake wanahesabiwa kuwa "wamestaafishwa kwa manufaa" ya umma, hivyo wanasubiri malipo ya umma! Kuna wanasheria wanabangua vichwa kuona jambo hili limekaaje ili waingie kazini kuvuna mapesa!
 
THIS IS VERY SERIOUS! ALITAKA WAFANYEJE! WAPINZANIA WAJUE 2020 KAMA HAKUNA TUME HURU WASITEGEMEE HATA JIMBO MOJA!
Kwa namna uteuzi wenyewe ulivyofanyika, kuna wanaoona kuwa umewapa fursa zaidi wapinzani-subiri madudu yanayoenda kutokea soon. Hiyo ni kwa mujibu wa wanaoelewa zaidi mambo yanayoendelea...ngoja tusubiri tuone
 
Wakurugenzi wapya wafikie hoteli,wakati bado tunafanya utaratibu wa kuwapangia waliotengulia kazi zingine
 
Kwa namna uteuzi wenyewe ulivyofanyika, kuna wanaoona kuwa umewapa fursa zaidi wapinzani-subiri madudu yanayoenda kutokea soon. Hiyo ni kwa mujibu wa wanaoelewa zaidi mambo yanayoendelea...ngoja tusubiri tuone
Sidhani! kuna strategy kubwa hapa!
 
Kama inavyofahamika kuwa Mhe. Rais alifanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Mamlaka ya Serikali za Mitaa. Wengi waliachwa bila kuteuliwa na bado wako kwenye vituo vyao vya zamani. Pili bado wapo kwenye nyumba za Wakurugenzi kama ilivyokuwa kwenye wadhifa wao, lakini Wakurugenzi wapya wanaendelea kufika kwenye vituo vyao ili kuendelea na kazi. Swali la kujiuliza, Je mbona hawajapangiwa sehemu za kwenda ili kuendelea na kazi za kujenga taifa?. Pili, ni sahihi kuhama kwenye nyumba walizokuwa wanaishi kabla ya kupangiwa sehemu za kwenda.
Technically hao watu walioachwa hawana kazi, ni bora waende makwao wasubiri kama Utumishi itawahitaji, hawana haki ya kubaki kwenye nyumba za serikali, wawapishe wateule wapya waendelee na kazi.
 
Naamini hujui lolote kabisa kwenye hili
 
Naamini hujui lolote kabisa kwenye hili

Basi wewe unayejua wasaidie kwa sababu mimi nina uhakika kwamba hao walioachwa na labda ukiwemo wewe ni kwa sababu ya "mkono mrefu", who were caught with their hands on the till ama kwa miradi ya kifisadi au watumishi hewa na kwa hiyo technically hawakuachwa bali wametemwa kazi, waende makwao wasubiri Mana kutoka mbinguni, its over unfortunately! Pole fisadi mbadhirifu wa mali ya umma, now its time for you all embezzelers to go start eating your ill gotten gains. Bs
 
Kama inavyofahamika kuwa Mhe. Rais alifanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Mamlaka ya Serikali za Mitaa. Wengi waliachwa bila kuteuliwa na bado wako kwenye vituo vyao vya zamani. Pili bado wapo kwenye nyumba za Wakurugenzi kama ilivyokuwa kwenye wadhifa wao, lakini Wakurugenzi wapya wanaendelea kufika kwenye vituo vyao ili kuendelea na kazi. Swali la kujiuliza, Je mbona hawajapangiwa sehemu za kwenda ili kuendelea na kazi za kujenga taifa?. Pili, ni sahihi kuhama kwenye nyumba walizokuwa wanaishi kabla ya kupangiwa sehemu za kwenda.

Washapewa barua ya kustafishwa kwa manufaa ya umma
 
Basi wewe unayejua wasaidie kwa sababu mimi nina uhakika kwamba hao walioachwa na labda ukiwemo wewe ni kwa sababu ya "mkono mrefu", who were caught with their hands on the till ama kwa miradi ya kifisadi au watumishi hewa na kwa hiyo technically hawakuachwa bali wametemwa kazi, waende makwao wasubiri Mana kutoka mbinguni, its over unfortunately! Pole fisadi mbadhirifu wa mali ya umma, now its time for you all embezzelers to go start eating your ill gotten gains. Bs
Kuna rafiki yangu kabla ya kupata huo ukurugenzi alikuwa mweka hazina (hivyo mkuu wa idara) katika moja ya halmashauri. Uteuzi huu katupwa nje na bado ana miaka 10 aweze kustaafu. Aina ya huyo jamaa ni wengi sana, sasa tulia ili ujifunze jinsi haya mambo yalivyo magumu kabisa.
 
Hivi hao wana kazi tena au ndio wamestaafishwa hata kabla ya 55 years! Utawapeleka wapi? Waliokuwa na taaluma zao labda watarudi kule kuota chawa maana wanakwenda kuwa benchi!
mkuu wakurugenzi ni wana taalama tena wengine vijana kabisa. kweli wakakae bench na uzoefu wao wote.
 
Back
Top Bottom