Say no to actors
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 637
- 641
Wewe hujachoka? Tulidhani chama chetu kimetuletea mtu kumbe Ni kituko? Iwe na isiwe lazima tufuate katiba ya chama ukimaliza muhula mmoja lazima kura za maoni kumpata atakàyepeperusha bendera ya CCM. Na ikitokea mtu aseme suala la mila na desturi lazima tutapinga mahakamani.Umechoka wewe uliezqliwa toka familiza ya wezi wa mali ya umma na wakwepa kodi. Sisi tunamtaka maana anatusafishia nyumba yetu iliyojaa kila aina ya uchafu. Poleni sana. Subirini 2025 na baada ya hapo tunaweka jembe jingine tena jina kapuni mpaka mnyooke na wizi muache.