Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,454
- 9,885
Niko hapa nina mialiko minne ya sikukuu na bado sijarudi mkoani kwa mama yoyoo. Sitaki kuwakera maboss zangu walionialika kwa hio nimejigawa, jana usiku nimekesha kwa mmojawapo. Leo saa nne nmeenda kula supu ya jogoo shababi kwenye mwaliko wa pili, hapa naelekea kwenye mualiko wa tatu nikaguse pilau kidogo kisha saa kumi naelekea kwenye mualiko wa nne kugusa vinywaji laini tu.
Kuanzia saa tatu usiku ndio sherehe inaanza kwa wakubwa. Hapo nishapaki pisi mbili na nimeziambia zije na rafiki zake. Hili hangover la kuamkia boxing day sijui litakuaje maana tungi litakalotembezwa leo sio la kitoto.
Heri ya xmas.