Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,161
- 85,724
Si ndio hapo sasaHuyo jamaa fwala tuu...Unakuta ni mgongaji na mrubuni mzuri wa vibinti vya watu alafu anakuja hapa kujidai anayajua maadili
Si ndio hapo sasaHuyo jamaa fwala tuu...Unakuta ni mgongaji na mrubuni mzuri wa vibinti vya watu alafu anakuja hapa kujidai anayajua maadili
Hongera sana Mungu akujalieKhaa masikini kumbe unadhani mimi ni mtoto ndiyo maana unanidharau?? Kwa taarifa yako mimi ni mama mtu mzima nina mume na watoto na ndoa yangu ina miaka 20 sasa!!
I think unaoa mtu aliyekuvutia, she has great personality and you have chemistry between you...….
Mnaokuja na hizi stori za single maza..hamjui kitu cha kuangalia when looking for a mate...
Single maza..is a sign of fertility.....
Single maza is a sign of COURAGE ... a sign of readiness to face responsibilities! hata ukifa ukamwacha na familia hatatereka amejifunza ku face responsibilities before kwa kulea mwenyewe......................
Single maza is a sign of LOVE she had option to abort but she decide to give the baby life...
Hizi story za kuwafanya ma single maza kufeel worthless ziishe tafadhali....
In case you dont know what are you looking for in relationship...nimekupa profile la single maza! Kazi kwenu....
Amen ShukraniHongera sana Mungu akujalie
Amen kubwaAmen Shukrani
Wanajidanganya pakubwaYeye anakwambia mwanamke akiwa bikira ndiyo ana sifa zote za kuwa mke wa ndoa atakuwa na utii uaminifu na uvumilivu tofauti na hapo hakuna ndoa
Wanajidanganya pakubwa
Huyo mwenyewe hajui kisukuma na hiyo tafsiri aliyokupa kaitunga yeye wala sio tafsiri sahihi ya neno "Tombina"
Lizarazu huna busara hata kidogo.
Tangu mada imeanza ulianza vizuri..naona umeona uingizie na matusi
.mbaya zaidi unamhusisha mzazi wa mtu.
Kaa utafakari tena.
Jambo ulilofanya si la kiungwana
Asee master!! Hii sio tafsiri sahihi ya hilo neno, acha kudanganya mzee.Ni tusi baya LA kisukuma, kumaanisha mlale mama yako. Jf in a watu was hali zote, so we need to grow kuzidi huo upuuzi
Hapo sasa unaanzaje kumlala mzazi wako tena wa kike!!?Haha sasa mimi mwanamke nawezaje kumlala mama yangu??
Umeona sasa akili za huyo mwenzio anayekusaidia kuponda wanawake??
Akhsante umekuja kuweka sawa hii kauli.Huyo mwenyewe hajui kisukuma na hiyo tafsiri aliyokupa kaitunga yeye wala sio tafsiri sahihi ya neno "Tombina"
So acha kuhemkwa kwa kudanganywa, mimi sio mpuuzi kiasi hicho cha kumtukania mtu mama yake, hili iweje sasa!?
Siko hivyo ambavyo tayari unanifikiria.
HayaHapo sasa unaanzaje kumlala mzazi wako tena wa kike!!?
Ndiyo ujue kwamba hiyo tafsiri uliyopewa jamaa kadanganya, tafsiri sahihi haiko hivyo.
Asee master!! Hii sio tafsiri sahihi ya hilo neno, acha kudanganya mzee.
Neno "tombina" ni tusi sawa lakini sio tusi kali kiasi hiki unachosema wewe.
Muite mtu yeyote anayefahamu atoe tafsiri sahihi uone kama watasema hiki ulichokiandika hapa, unless na wao wawe hawajui na waandike kwa kuhisi tu.
Huyo mwenyewe hajui kisukuma na hiyo tafsiri aliyokupa kaitunga yeye wala sio tafsiri sahihi ya neno "Tombina"
So acha kuhemkwa kwa kudanganywa, mimi sio mpuuzi kiasi hicho cha kumtukania mtu mama yake, hili iweje sasa!?
Siko hivyo ambavyo tayari unanifikiria.
Niambie jamii za ulaya zinasemaje. Hujui mambo mengine unayopinga ni ya kisayansi.Usisingizie malezi mabovu kwenye kila kitu wanawake wana tamaa ya kuolewa upesi kwa sababu ya mitazamo ya jamii za kiafrika kwamba mtoto wa kike akifika miaka 28 tu hafai kuolewa hata kama kajitunza eti ni 'mzee utamu wake umekwisha'
Sasa kwenye jamii zenye mitazamo hiyo unadhani wanawake hawatafanya juu chini kutafuta ndoa au unadhani wao wanapenda 'kunyooshewa vidole na jamii'?? Siku mkiacha hiyo mitazamo ya kijinga basi sidhani kama wanawake watakuwa wanajirahisisha kwa wanaume ili wapate ndoa tofauti na hapo endeleeni kupiga kelele na kupoteza muda mitandaoni!!
Nilie kwani nina mpango was kukuoa?Mimi single mother na ukweli ni kwamba mwanangu kwanza,kazi pili na mwanaume ni wa mwisho ktk fikra zng haya mtoa mada Lia vizuri na macho yakuvimbe kabisa
OK, sina cha kusema juu yako. Huo utii was masharti baki nao.Na wewe itoshe kusema umepaswa kupenda, tofauti na hapo haustahili utii wa mkeo sasa sijui hata kama wanaume wa kiafrika mnajua maana ya Upendo.
Upendo huvumilia, husamehe, hustahimili na hauhesabu mabaya sasa jiulize ni wanaume wangapi wanafanya hayo kwa wake zao halafu ndiyo utapata jibu ni wanaume wangapi hawastahili utii kutoka kwa wake zao..
Acheni magugu yamee na nganoSawa labda nikuulize swali hapa duniani hao makahaba Mungu huwa anawapa adhabu gani unazozijua wewe??