Sasa kama mwanamke amenizidi kipato nitafanyaje sasa? Itabidi nipigwe tu maana hakuna namna nyingine maana siwezi kumkasirisha asije akaniacha nikateseka mie.
Hilo ndo linaweza kumuokoa mwanaume anayepigwa,Usiombe uoe bouncer, tendo la ndoa inabidi apange yeye na ukicheza unakula migumi na makonde.
Nitamkomesha mda siyo mrefu!Wifi inaelekea anapiga exercise na yuko fit.
Mimi nimeanza kwenda mazoezi ya karate juzi baada ya mke wangu kunipiga vibao vya nguvu kisa eti katukuta tunapiga story vizuri na housegirl huku tunapasiana viganja/makofi na kucheka kwa furahaa na nilishindwa kumdhibiti kabisa mke wangu, nimepata aibu sana kwani niliishia tu kulia kama mtoto mdogo!
Ndio hivyo mkuu, nishazoea uzuri wake haninyimi ile kitu inameza nyenzake...umetia huruma!
nimecheka hapo "wananyanyasika" daaah.. Come ooon...We acha kunawake wanamaliza kilo ya dona na maharage, ukiingia ndani anakuwakia umetoka wapi? Ukichelewa kujibu umekula zinga la kibao. Kwa kweli kuna wanaume wananyanyasika sana kwenye ndoa na hawawezi kusema hadharani.
Siku hizi si ajabu kumkuta mwanaume anapigwa na mke wake/mpenzi wake, kaka zangu mkipigwa na wake zenu/wapenzi wenu mnauwezo wa kuyahadithia nje? Hii ni janga lililoibuka na wanaume wengi wanaumizwa ndani ya nyumba lakini hawana uwezo wa kuyasema nje.
Sasa mkuu hujatoa njia ya kuwanusuru na adha hiyo.Siku hizi si ajabu kumkuta mwanaume anapigwa na mke wake/mpenzi wake, kaka zangu mkipigwa na wake zenu/wapenzi wenu mnauwezo wa kuyahadithia nje? Hii ni janga lililoibuka na wanaume wengi wanaumizwa ndani ya nyumba lakini hawana uwezo wa kuyasema nje.
Ndio hivyo mkuu, nishazoea uzuri wake haninyimi ile kitu inameza nyenzake