Wakimbizi waandamana baada ya kukataliwa kuvuka mpaka wa Ugiriki na Macedonia.
Wakimbizi wengi wao wakiwa ni kutoka Iran wameamua kutumia mbinu ya kujishona midomo yao wakiashiria kupinga serikali kwa kuwabagua na kuchagua baadhi ya wakimbizi. Baadhi ya nchi za Balkan zimechukuwa uamuzi wa kuchagua wakimbizi watakao vuka mpaka na kuingi Ulaya Kaskazini.