Clemence Baraka
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,694
- 650
Aliyemlea mchina kuwa mwelewa ni serikali yake. Serikali yetu imetulea tuwe tulivyo na hatustahili kuadhibiwa bila huruma.
Hata mimi nilisoma hapo nikacheka sana kwa huzuni lakiniNimesoma habari hii kwenye Mwananchi la Leo. Kuna para moja Wakili Msomi Msemwa anasema ya kwamba " nyumba ya mteja wangu ina thamani kubwa na hana sehemu ya kwenda ikibomolewa". Nikajiuliza, kwani wale wa jangwani si walienda mabwepande! Na yeye aende huko!
Post ya maana hii..!!hao nemc ndio wanaotoa vibali vya ujenzi? kama ni kweli, inatakiwa kuangaliwa kwenye ramani, je, hapo alipojenga ni ramani sahihi ya jiji inayoruhusu jengo kujengwa, jibu likiwa ndiyo basi wasimsumbue mama wa watu, ila jibu likiwa hapana, basi hilo ni jipu, wahusika waliomruhusu(si atakuwa na nyaraka) wakamatwe na kuhojiwa waliruhusu vipi wakati haparuhusiwi kujengwa, na jengo libomolewe mara moja. imefika kipindi hata majaji na mahakimu wanaotoa maamuzi ambayo hayana maslahi na nchi wafukuzwe kazi wapewe majaji wengine wenye faida kwa taifa. maslahi ya wengi ni ya muhimu zaidi kuliko mtu mmoja.