Wakili msomi Joseph Kinango amesema Waziri Mwakyembe avuliwe ujumbe wa TLS

Wakili msomi Joseph Kinango amesema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata kabla Mwakyembe hajalitamka. Yani wakati Mwakyembe anafikiria kutamka tayari lilikua batili.

Hii ni kwa sababu ili ufute TLS inabidi ufute sheria inayoanzisha TLS (The Tanganyika Law Society Act). Na sheria hiyo haiwezi kufutwa kienyeji. Inabidi ipelekwe bungeni na bunge liifute. Ikitokea hivyo athari zake ni kama ifuatavyo:

1. Mawakili wote nchini wanapoteza uhalali wa kuwa mawakili, maana sifa mojawapo ya kuwa wakili ni kuwa member wa TLS.

2. Sheria takribani 200 zinazotaja au kutambua uwepo wa mawakili inabidi zifutwe au zifanyiwe marekebisho ili kuondoa application ya mawakili katika sheria hizo.

3. Bodi za taasisi kadhaa nchini inabidi zifanyiwe marekebisho maana kuna bodi ambazo Rais wa TLS ni mjumbe.

4. Sifa za kumpata Gavana wa BOT inabidi zibadilishwe maana moja ya watu wanaoweza kuteuliwa kuwa Gavana ni pamoja na Wakili wa mahakama kuu.

5. Sifa za kuwapata majaji nchini inabidi ziwe reviewed maana mojawapo ya sifa ni kuwa wakili wa mahakama kuu (na mahakama zilizopo chini yake).

6. Chuo cha mafunzo ya sheria (School of Law) kinachofunza na kuandaa mawakili inabidi kifungwe maana hakitakuwa na tija tena kwa nchi.

[HASHTAG]#NiniKifanyike[/HASHTAG]:
1. Tamko la Waziri Mwakyembe linafaa kupuuzwa. Halina mantiki.

2. Waziri Mwakyembe avuliwe ujumbe wa TLS. Haiwezekani aendelee kuwa mjumbe wa Taasisi ambayo anafikiria kuifuta.

So jambo la kwanza kwa mawakili wakifika Arusha tar 17 March, kabla ya kupiga kura ya kumchagua Lissu kuwa Rais wao, wanapaswa wapige kura ya kumfuta uanachama wa TLS Mwakyembe.

Hebu rudia, umesemaje? Kauli ya Mwakyembe ipuuzwe, Mwakyembe avuliwe ujumbe TLS.

How preposterous is that?

Kama kauli ya Waziri tuipuuze wewe mbona inakuumiza kichwa kiasi kwamba unataka ku act on Mwakyembe?

Mawakili msioweza kujieleza nyinyi, ajabu sana.

Mngejibu hoja ya Waziri kwamba mnafanya siasa. Hakuna taasisi yeyote nchini inayoruhusiwa kufanya political advocacy zaidi ya chama cha siasa. Jibuni hilo!

TLS mmeshindwa kutoa statement wakati Rais aliposema inabidi criminal defense attorneys mkamatwe muunganishwe kwenye ma kesi, mnakuja kuwa outraged leo na bluffy statement za Waziri. Rais mnamuogopa? Disastrous reaction.
 
Mtoa post na huyo wakili wako rudieni kile alichosema mh Mwakyembe msikurupuke kusikiliza matamko kwa kutumia masabuli, wadanganyeni hao vilaza wenzenu wa chadema lkn sio hapa jf
 
Kumbe vilaza mpo wengi sana.
Waziri Mwakyembe avuliwe ujumbe wa TLS. Haiwezekani aendelee kuwa mjumbe wa Taasisi ambayo anafikiria kuifuta.

Hebu rudia, umesemaje? Kauli ya Mwakyembe ipuuzwe, Mwakyembe avuliwe ujumbe TLS.

How preposterous is that?

Kama kauli ya Waziri tuipuuze wewe mbona inakuumiza kichwa kiasi kwamba unataka ku act on Mwakyembe?

Mawakili msioweza kujieleza nyinyi, ajabu sana.

Mngejibu hoja ya Waziri kwamba mnafanya siasa. Hakuna taasisi yeyote nchini inayoruhusiwa kufanya political advocacy zaidi ya chama cha siasa. Jibuni hilo!

TLS mmeshindwa kutoa statement wakati Rais aliposema inabidi criminal defense attorneys mkamatwe muunganishwe kwenye ma kesi, mnakuja kuwa outraged leo na bluffy statement za Waziri. Rais mnamuogopa? Disastrous reaction.
 
Mleta mada nadhani kuna kitu hakitambui...wakili msomi na je kuna mawakili ambao sio wasomi?
Uwe unajiongeza basi kuna mawakili ambao wamesoma lakini hawatumii taaluma zao kama Mwakyembe utamwita Wakili Msomi?
 
Sawa mwanasheria wa CCM
Hebu rudia, umesemaje? Kauli ya Mwakyembe ipuuzwe, Mwakyembe avuliwe ujumbe TLS.

How preposterous is that?

Kama kauli ya Waziri tuipuuze wewe mbona inakuumiza kichwa kiasi kwamba unataka ku act on Mwakyembe?

Mawakili msioweza kujieleza nyinyi, ajabu sana.

Mngejibu hoja ya Waziri kwamba mnafanya siasa. Hakuna taasisi yeyote nchini inayoruhusiwa kufanya political advocacy zaidi ya chama cha siasa. Jibuni hilo!

TLS mmeshindwa kutoa statement wakati Rais aliposema inabidi criminal defense attorneys mkamatwe muunganishwe kwenye ma kesi, mnakuja kuwa outraged leo na bluffy statement za Waziri. Rais mnamuogopa? Disastrous reaction.
 
Wakili msomi Joseph Kinango amesema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata kabla Mwakyembe hajalitamka. Yani wakati Mwakyembe anafikiria kutamka tayari lilikua batili.

Hii ni kwa sababu ili ufute TLS inabidi ufute sheria inayoanzisha TLS (The Tanganyika Law Society Act). Na sheria hiyo haiwezi kufutwa kienyeji. Inabidi ipelekwe bungeni na bunge liifute. Ikitokea hivyo athari zake ni kama ifuatavyo:

1. Mawakili wote nchini wanapoteza uhalali wa kuwa mawakili, maana sifa mojawapo ya kuwa wakili ni kuwa member wa TLS.

2. Sheria takribani 200 zinazotaja au kutambua uwepo wa mawakili inabidi zifutwe au zifanyiwe marekebisho ili kuondoa application ya mawakili katika sheria hizo.

3. Bodi za taasisi kadhaa nchini inabidi zifanyiwe marekebisho maana kuna bodi ambazo Rais wa TLS ni mjumbe.

4. Sifa za kumpata Gavana wa BOT inabidi zibadilishwe maana moja ya watu wanaoweza kuteuliwa kuwa Gavana ni pamoja na Wakili wa mahakama kuu.

5. Sifa za kuwapata majaji nchini inabidi ziwe reviewed maana mojawapo ya sifa ni kuwa wakili wa mahakama kuu (na mahakama zilizopo chini yake).

6. Chuo cha mafunzo ya sheria (School of Law) kinachofunza na kuandaa mawakili inabidi kifungwe maana hakitakuwa na tija tena kwa nchi.

[HASHTAG]#NiniKifanyike[/HASHTAG]:
1. Tamko la Waziri Mwakyembe linafaa kupuuzwa. Halina mantiki.

2. Waziri Mwakyembe avuliwe ujumbe wa TLS. Haiwezekani aendelee kuwa mjumbe wa Taasisi ambayo anafikiria kuifuta.

So jambo la kwanza kwa mawakili wakifika Arusha tar 17 March, kabla ya kupiga kura ya kumchagua Lissu kuwa Rais wao, wanapaswa wapige kura ya kumfuta uanachama wa TLS Mwakyembe.
Kuna Vitu Mnachanganya, Uwakili hauna uhusiano na kuwa mwanachama wa TLS: Leseni ya Uwakili anatoa Jaji Mkuu (Thats the Law). So hata mtu asipokuwa mwanachama wa TLS, bado Uwakili wake uko palepale (SOMENI SHERIA MZIELEWE NA MSIZITAFSIRI KWA MIHEMKO YA KISIASA etc). Hayo Mengine uliyoandika hapo ni UONGO tu. Hivi chama cha madaktari kikifutwa, Tanzania inakuwa haina madaktari??? Muwe nafikiria kwanza kabla ya kuandika jambo. TLS ni chama cha mawakili, TLS sio kigezo cha mtu kuupata Uwakili (Jamani someni sheria na muache upotoshaji).
 
Kumbe vilaza mpo wengi sana.
Waziri Mwakyembe avuliwe ujumbe wa TLS. Haiwezekani aendelee kuwa mjumbe wa Taasisi ambayo anafikiria kuifuta.
Punguza ndoto Fransic 12 usikurupukie kitu usichokijua ndio maana wenye akili wapo kimya lkn wewe kibaraka wa mbowe na Lissu unahangaika hapa jf
 
duuh kweli matope hii nchi watu wachache wanataka kuja na plan zao za kufuta vitu kizembe
Kuna Vitu Mnachanganya, Uwakili hauna uhusiano na kuwa mwanachama wa TLS: Leseni ya Uwakili anatoa Jaji Mkuu (Thats the Law). So hata mtu asipokuwa mwanachama wa TLS, bado Uwakili wake uko palepale (SOMENI SHERIA MZIELEWE NA MSIZITAFSIRI KWA MIHEMKO YA KISIASA etc). Hayo Mengine uliyoandika hapo ni UONGO tu. Hivi chama cha madaktari kikifutwa, Tanzania inakuwa haina madaktari??? Muwe nafikiria kwanza kabla ya kuandika jambo. TLS ni chama cha mawakili, TLS sio kigezo cha mtu kuupata Uwakili (Jamani someni sheria na muache upotoshaji).
 
Mwakyembe ameamua kuweka pembeni taaluma yake kwa maslahi ya chama chake cha CCM
Kuna Vitu Mnachanganya, Uwakili hauna uhusiano na kuwa mwanachama wa TLS: Leseni ya Uwakili anatoa Jaji Mkuu (Thats the Law). So hata mtu asipokuwa mwanachama wa TLS, bado Uwakili wake uko palepale (SOMENI SHERIA MZIELEWE NA MSIZITAFSIRI KWA MIHEMKO YA KISIASA etc). Hayo Mengine uliyoandika hapo ni UONGO tu. Hivi chama cha madaktari kikifutwa, Tanzania inakuwa haina madaktari??? Muwe nafikiria kwanza kabla ya kuandika jambo. TLS ni chama cha mawakili, TLS sio kigezo cha mtu kuupata Uwakili (Jamani someni sheria na muache upotoshaji).
 
Sawa mwanasheria wa CCM

Ningekuwa mwanasheria wa C.C.M. nisingesema Mwenyekiti wa chama kavurunda kusema criminal defense attorney wakamatwe waunganishwe kwenye kesi. Najaribu kuangalia vitu objectively, I am not a straightjacketed thinker.

Huwezi kusema Mwakyembe apuuzwe lakini afukuzwe. Ukiandika kitu kama hicho kwenye mtihani wa darasa la nne unafeli shule for good. Chagua moja, apuukuzwe au afukuzwe?

Magufuli said much more outlandish things againts defense lawyers, TLS kimya! Wanakuja kumrukia soft target Waziri Mwakyembe ilhali wanashindwa hata kujitetea kwa nini wao sio political. Wameandika barua ndeeefu imejaa smoke and mirrors ndani yake wamesahau kupinga kwamba wanafanya siasa. Crummy TLS lawyers.
 
Acha kukurupuka kama hujui bora kunyamaza kimya leta hizo sheria unaosema wewe
 
Rudia kusoma ambacho kimeandikwa
Tamko la Waziri Mwakyembe linafaa kupuuzwa. Halina mantiki.

Back
Top Bottom