Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 439
- 1,589
Wewe ni wakili wa kawaida sana ila unapenda kufanya Touting ili upate wateja, wapo mawakili wazuri akina Majura Magafu lakini hawana shobo wala nini ila wewe ndio unajiona unajua sheria sana kuliko yeyote yule.
Tarehe 24 utakutana na mawakili wa serikali wanaojua sheria kuliko wewe, siku hiyo alika Malaika, Majini, Mashetani waje kusikiliza kesi hiyo, sio Jumuiya za Kimataifa na Maaskofu wako hao, Kamanda Muliro ameshatoa tamko, mnasubiriwa mjichanganye yawakute.