Wakili Kibatala: Nitasusia Uchaguzi was TLS kama Mwabukusi asiporudishwa kwenye orodha ya Wagombea

Mi nikimtazama yule jamaa naoma kama.elimu imevamiwa na wahuni mbumbumbu kabisa. Mara nyingi anaongea natoa mate na kulowanisha waliokaribu naye halayo pointless.

Sijui nyinyi mnamuonaje.
Chukua kitu kimoja kimoja alichoongea kipinge kwa facts na vifungu mkuu sisi std 2 B tuelewe.
 
Mi nikimtazama yule jamaa naoma kama.elimu imevamiwa na wahuni mbumbumbu kabisa. Mara nyingi anaongea natoa mate na kulowanisha waliokaribu naye halayo pointless.

Sijui nyinyi mnamuonaje.
Ww mwenyewe hata kuandika kwa ufasaha huwezi, halafu ndio uje umchambue mtu mbele ya wanaume? Jina la mtu herufi ya kwanza hutakiwa kuwa kubwa. Hapo achia typo kibao kwenye huu utoto wako.
 
Nenda law school pale ukajaribu mziki km hujabwaga manyanga mwenyewe nakuanza kuililia serekali Jamaa wanabania msitoboe
Wanachofanya law school ni kucontrol idadi ya Mawakili tu na Siyo kwamba huwa wanafeli

Hii ilikuwa inafanywa hata na NBAA kubania CPA Ili kulinda taaluma 😂
 
Mi nikimtazama yule jamaa naoma kama.elimu imevamiwa na wahuni mbumbumbu kabisa. Mara nyingi anaongea natoa mate na kulowanisha waliokaribu naye halayo pointless.

Sijui nyinyi mnamuonaje.
Mwabukusi alikuwa kondakta wa daladala Arusha. Akasoma kwa MEMKWA na kisha akadahiliwa OUT kusoma LLB.

Ni mlevi fulani amepata fursa ya kuwafanganya wenye vyama vyao.
 
Mi nikimtazama yule jamaa naoma kama.elimu imevamiwa na wahuni mbumbumbu kabisa. Mara nyingi anaongea natoa mate na kulowanisha waliokaribu naye halayo pointless.

Sijui nyinyi mnamuonaje.
The guy is very bold, very strong

He will never compromise with stupidity

Hiyo ndiyo mood na sauti ya mtu anayekemea uovu wowote ktk jamii

Sio na "....na hilo nalo mwende mkalingalie..."

Badala ya kukemea kwa sauti Ili wahalifu wajue kuwa amechukia na hajapendezwa na tabia na matendo, yeye analeta u - Jezebel wake ktk nchi na maisha ya watu??

Eti "........na hilo nalo mkaliangalie..." wakati watu wameiba na kusababisha mamilioni ya wananchi kwa kukosa huduma muhimu kwa sababu ya kundi dogo la wezi wa mali na fedha za umma !!

Very stupid Jezebel!!
 
Mi nikimtazama yule jamaa naoma kama.elimu imevamiwa na wahuni mbumbumbu kabisa. Mara nyingi anaongea natoa mate na kulowanisha waliokaribu naye halayo pointless.

Sijui nyinyi mnamuonaje.
Nyie chawa mnafurahia kwa mama kuvuruga uchaguzi TLS sio?
 
Ana kura ya veto? Halafu kibatala, ka bangi ka nini? Na wewe pia ni mteja wa madada wa Nawanda, interns wako unawalipia mpaka tiketi za ndege ukafanye unawanda, chumba kizima kikinuka bangi. Smart outside, evil inside.

He calls himself rasta, yes, we know why!
Inakuhusu nini bwege wewe?jibu kwa hoja hivi nyie chawa mbona mnakosa aibu hivi!!!yani mtu mzima huna hoja unaongea umbea umbea wa kike tu
 
Nenda law school pale ukajaribu mziki km hujabwaga manyanga mwenyewe nakuanza kuililia serekali Jamaa wanabania msitoboe
Hii ni kwa sababu wanaosoma hgl au masomo ya arts mara nyingi ni vilaza. Huwezi kukuta bright ambaye anasoma arts. Wale wanaoshindwa physics, chemistry na biology, arts inakuwa kimbilio
 
The guy is very bold, very strong

He will never compromise with stupidity

Hiyo ndiyo mood na sauti ya mtu anayekemea uovu wowote ktk jamii

Sio na "....na hilo nalo mwende mkalingalie..."

Badala ya kukemea kwa sauti Ili wahalifu wajue kuwa amechukia na hajapendezwa na tabia na matendo, yeye analeta u - Jezebel wake ktk nchi na maisha ya watu??

Eti "........na hilo nalo mkaliangalie..." wakati watu wameiba na kusababisha mamilioni ya wananchi kwa kukosa huduma muhimu kwa sababu ya kundi dogo la wezi wa mali na fedha za umma !!

Very stupid Jezebel!!
Mahakama ndo inajua huyu kaiba au la! Rais hana mamlaka ya kujua mwizi kutokana na katiba aliyoapa kwayo
 
Na hata akibaki salama atakuwa amejifunza sana na atawaheshimu sana wapiga kura. Hizi dharau hata hapa bongo zimetamalaki sana kwa watawala. Wanawaona wananchi kama mazuzu tu, wanafanya wanavyotaka bila hofu yoyote.
Hawa kiburi kimewaingia sana, na hicho ndicho kitakacho wamaliza.
Hebu wewe fikiria, rais wa nchi anawaambia anao waongoza kwamba kelele zao sasa hataki kuzisikia, anajitangazia kuwa 'Chura Kiziwi'!

Hii maana yake ni kwamba anawapuuza na kuwadharau hao wanaompigia kelele kuhusu jambo husika!
Huyu siyo kiongozi, ni mtawala.
 
Back
Top Bottom