Wakazi wa eneo la Iloganzila Kibamba wabomolewa nyumba zao zaidi ya 400

hawa watu wamenunua hayo maeneo chini ya usimamizi na idhini ya serkali mtaa ambayo IPO kisheria na kikatiba...
kwa Dar ukiwategemea hao kujua uhalali wa kiwanja imekula kwako...nao ni majipu...watu wengi wametapeliwa na vimikataba wanavyo vyense signatures na mihuri ya kijiji sijui mtaa sijui kata...wewe acha tu...
 
hawa watu wamenunua hayo maeneo chini ya usimamizi na idhini ya serkali mtaa ambayo IPO kisheria na kikatiba...
Walitapeliwa, na mahakama imethibitisha hilo, mkuu wewe una wasiwasi na integrity ya mahakama zetu?, kama una wasiwasi peleka malalamiko yako mahakamani
 
aliye watapeli nani? jee serkali matapeli?
 
Back
Top Bottom