Wakati Makonda anakwenda Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa tunauliza kuhusu CV yake.

Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
Kwa ccm hii cv siyo kitu muhimu ili kuaminiwa kuongoza. Ukada ndo mambo yote.
 
Bashite la 4 alifeli,la saba kafeli,form 2 kwa wakati wake mtihani haukuwepo ila najua angefeli!,form 4(div 0) alifeli,to prove us wrong angepewa hiyo mitihani yote airudie kuanzia wa la nne,pamoja na hayo naamini atafeli
 
Hizo cv mnazo dai zimetufelisha sana,hazina tija wengine walikuwa wana siiiiv saiz ya quire 2 ila walikuwa wakiishia kufoka foka na kutoa macho.
 
Fund ndoga kutoka serikalini. Sisi hatufanyi kazi ya njaa. Waiteni waliosoma VETA mana wao hata elfu 10 wanapiga kazi
Huo ndio mtazamo wa mainjinia wetu. Ulaya injinia unamkuta kavaa overall, huku kwetu wazembe kama ninyi mnaenda site na suti nyeupe. Halafu mnataka msipewe mchele wenye virutubisho?
 
Huo ndio mtazamo wa mainjinia wetu. Ulaya injinia unamkuta kavaa overall, huku kwetu wazembe kama ninyi mnaenda site na suti nyeupe. Halafu mnataka msipewe mchele wenye virutubisho?
Anavaa overall kwa sababu analipwa pesa ndefu. Mavazi siyo issue. Hapa bongo hata utembee uchi Bado pesa ni kisoda. Hatukusoma ili tuteseke. Chukueni Hao watu cheap wa veta
 
Back
Top Bottom