Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,092
Hawakuwahi kujihusisha na wizimmejikumbusha mengi kuhusu namna mlivyo kuwa mnaishi,vipi kuhusu jinsi mlivyokuwa mnaiba?
Hawakuwahi kujihusisha na wizimmejikumbusha mengi kuhusu namna mlivyo kuwa mnaishi,vipi kuhusu jinsi mlivyokuwa mnaiba?
Hizo ni open cut mining.Ngazi ya kupanda juu iko chini kidogo mkuu
Hii ni TEREX
Hii ni Triple 7
Hii ni 797
Umeona ngazi zake zilipo mkuu ziko mbele na ni ndefu
Mimi ni mmoja wa hao wazugajiScoop iliyopinduka chiniMiner wakibadirishana story chiniPozi na mashine za chiniKipindi hicho huko ndiko ilikuwa level ya chini zaidiWazee wa kaziChocho za chiniChumba cha kujiokoa chini chenye uwezo wa kuchukua watu wanane tuKarakana ya mashine chini ya ardhi (mgodini)Mashine kubwa za kutobolea mwambaWazugajiWazugajiDreva na gari katika Pozi chini shimoniWanaume na pozi lao shimoni
Asanteni kwa elimu hii:
Nauliz;
1. Moto husababishwa na nini hasa underground na huwa miners wanajiokoaje na janga hili?
2. Je, kuna waliojaribu kuiba dhahabu na walitokaje?(tofauti na aliyezuga ugonjwa). Maana zile scanner c mchezo.
3. Mbunge msukuma aliwahi sema walikuwa wakiuziwa mchanga kwa abt elfu 80, then walipoufanyia maalifa walipiga millions, je walinzi wanaibaje mchanga na huutoroshaje?
4. Life span ya migodi yetu ni kiasi gani kimebaki na kwa mining researches, je, kuna uwezekano wa kuwa na other centers with great deposit ya madini kama/zaidi ya iliyopo?
5. Ni migogoro gani hutokea underground kati ya miners na husuruhishwa namna gani?
Jibu la swali # 2Asanteni kwa elimu hii:

Nilipata kazi buly ya social counselor baada ya orientation tu kumalizika nikaresignKweli kabisa tunaingia shimoni kwa ujasiri na nguvu ya mungu,kuna wengine anapata kazi siku ya kwanza anaingia pit akitoka tu na kazi haitaki tena,hasa miner trainee wanaoingia umri mkubwa
Haya
Kwa nini Mkuu?Nilipata kazi buly ya social counselor baada ya orientation tu kumalizika nikaresign
jibu la swali # 3Asanteni kwa elimu hii:
Nauliz;
1. Moto husababishwa na nini hasa underground na huwa miners wanajiokoaje na janga hili?
2. Je, kuna waliojaribu kuiba dhahabu na walitokaje?(tofauti na aliyezuga ugonjwa). Maana zile scanner c mchezo.
3. Mbunge msukuma aliwahi sema walikuwa wakiuziwa mchanga kwa abt elfu 80, then walipoufanyia maalifa walipiga millions, je walinzi wanaibaje mchanga na huutoroshaje?
4. Life span ya migodi yetu ni kiasi gani kimebaki na kwa mining researches, je, kuna uwezekano wa kuwa na other centers with great deposit ya madini kama/zaidi ya iliyopo?
5. Ni migogoro gani hutokea underground kati ya miners na husuruhishwa namna gani?
Asante mkuu, takuja kukupa kapani nikifika home usiku huu. Nilikuwa mbali na hadi sasa sijafika.jibu la swali # 3
Alicho wahi kukisema Musukuma, ni kitu cha kweli kabisa. Hata mimi binafsi niliwahi kushiriki mchezo huo nikiwa kama mfanyakazi enzi zileeeeeeeee....
jibu la swali # 4
Sina hakika na miaka ya kuishi mgodi kama Bulyanhulu ukingali unazalisha dhahabu.
Lakini kuna mgodi flani upo Peth Australia. Ule mgodi niliwahi kuutembelea kwaajili ya kupata mafunzo kwa vitendo. Mgodi ule unafanana sana na mgodi wa Bulyanhulu. Nakumbuka sikuzile niliuliza umri wa mgodi ule, niliambiwa una umri wa zaidi ya miaka 92. Bila shaka hadi leo mgodi ule bado ukingali unazalisha madini ingawa sio kwa kiwango kile kama walipo anza mapema.
jibu la swali # 5
Miner wana upendo sana, na wanakuaga na ushirikiano mkubwa sana wanapo kuwa underground.
Tatizo kubwa la Miner na management ni akipata pesa/mshahara, lazima pawe na watu kadhaa watoro kazini na hadi pengine wamalize pesa ndipo hukuja kazi.
Pia tatizo lingine la Miner ni kuja kazini wakiwa wamelewa. Hili ni tatizo kubwa sana linalo weza likasababisha mtu kupata/kusababisha ajali kwa kutumia mitambo ama machine wakati bado ana kilevi.
Usjali comrade.Asante mkuu, takuja kukupa kapani nikifika home usiku huu. Nilikuwa mbali na hadi sasa sijafika.
Kuendesha ilo sinilazima uwe mnyanyua vyuma vizito maana usukani si utakuwa mzito kwa mitairi hiyo.Hahahaha kabisa mkuu, kwa maana nyingine lazima uwe fit kweli kweli
Mashine zote za mgodini hazitumii nguvu na nyingi hazina usukaniKuendesha ilo sinilazima uwe mnyanyua vyuma vizito maana usukani si utakuwa mzito kwa mitairi hiyo.
Kuna watu wamejaariwa maarifa mpaka kuyengeneza mashine hizo
Dumper nalo halina usukani?Mashine zote za mgodini hazitumii nguvu na nyingi hazina usukani
Namuona Ki****a hapoMimi ni mmoja wa hao wazugaji
Mkuu naona umevutiwa sana na kazi za u miner hususani mashine za underground. Yes ni kweli halina usukani kama usukani wa magari mengine unayoyafahamu mkubwa wangu. Naomba mkuu [HASHTAG]#jiwedogo[/HASHTAG] ujaribu kuelezea zile mashine zinazofuata kifusi sehemu hatari (sehemu ya mwamba usio imara) Kwa kutumia remote.Dumper nalo halina usukani?
Hahahahahhaaaaaa hongera mkuu. Kazi na dawa. Wazugaji wanakuambia kama dumper hadi linachakaa je miili yetu!? Hapo mzugaji anatafuta box tupu la ANFO analichana dizaini ya mkeka harafu analala taa ikiwa imeangalia juuMimi ni mmoja wa hao wazugaji
Dumper lina usukani,ila ni laini sana "hydraulic system"Dumper nalo halina usukani?
Yes lkn si kama wa mabasi pia kuna sehemu za kureoperate pasipo hicho kiusukani. Mfn ScoopDumper lina usukani,ila ni laini sana "hydraulic system"
Hizo ni open cut mining.
Hapa Tanzania zinatumika kwenye migodi ya Geita, Nyamongo, Tulawaka nk: