Kosa la wote anayetuma ilitakiwa aingiziwe kwenye simu yake then amtumie yeye mwenyewe wakala hatumi pesa kwa mtu asiyemwonaLkn kama wakala alithibitishiwa kuwa hela imezuiliwa na itarudi ndani ya siku 4 alipaswa kufanya muamala mwingine yaani akutumie hela yako kisha yy asubiri hiyo itakayorudi baada ya siku 4.Coz kosa ni lake maana alipaswa kuhakiki namba na jina la mpokeaji kabla hajaruhusu muamala kufanyika