Uko sawa mkuu, kwa hapa Bongo kubali kushare.kule unapata wawili peke yako mkuu,wala sio mmoja!
Mkuu hiyo mdada anauwezo,anakuja.ameevaa heleni,mkufu wa shingoni,saa ya mkononi,bracelet,cheni ya kiunoni vyote pure Gold toka Muscat,sio uhindini kule karibu na crock tower kwa chini! ana gali lake zuri.vijana wapenda mtelemko wasingemweza kwakuwa anapenda mwanaume anayejitegemea hiyo ndio sifa yake.japo hali hela yako ya kumhonga.zaidi ya matumizi yenu. kasafiri nchi nyingi yuko exposed na maisha mazuri na taste ya watu awatakao!Vijana wengi wakigundua mwanamke anajiweza na yupo na mtu anamfinance hugeuza mapenzi hayo kuwa fursa ya ajira yaani atafanya kila wawako faragha kuakikisha jimama achomoki ..na baada ya mda sound zinakuja kama mvua...
Hawa wanapiga hela tu mkuu! ukimuaga bila kumshika mkono anaganda hapohapo kama amepigwa shot ya radi.Hahahahhhhhh!! Ukiona nyani town town ujue ana mwenyewe au kaletwa,msemo wenye maana pana sana,ila ungeendelea kugegeda tu as far haikucost sana,
haya katafute ngedere waliojileta town wenyewe uone,utamkumbuka huyo dada.
Kweli mkuuhuwezi.ukajua kila kitu mkuu,kadri unavyoishi unajifunza mengi kutokana na mazingira uliyopo.
Ni kweli kaka, mjini hapamkuu kawaida mwenyekisu kikali.ndiye anakula nyama!
mkuu fahari wawili hawakai.zizimoja.asilani.siwezi kula sahani moja na mwanaume mwenzangu.