rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 13,782
- 18,039
Habari wanajukwaa, nina hii sakata nahitaji msaada wa mawazo nini kifanyike.
Nilikua na nimeajiriwa kwa biashara ya mtu, mzigo/malighafi nachukua kwa watu watu kwa mali kauli na mwenye ofisi alikua anafahamu.
Baada ya mda mwenye biashara kanigeuka kwamba yale madeni ni yangu binafsi sio ya ofisi wahusika wamenivaa wananidai
Nimekaa siku 2 central polisi nimetoka kwa dhamana nimeahidi nitalipa week 2
Lakini polisi na wadeni hawataki wanalazimisha siku wanayotaka wao na kama sina nikae ndani
Hili jambo likoje kiutaratibu na kisheria??
Je inafaaa kesi kusikilizwa na polisi au mahakama??