IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,497
- 2,414
Usb 2 ni standard ya 2000 maximum inapitisha data 480mbps (60MB/s)Nilinunua flash drive Ali express ya 64 GB iliandkwa usb 2.0 View attachment 2746941
Alafu Nika nunua tena
flash drive ya Lenovo 256 GB hii iliandkwa usb 3.0 View attachment 2746961
Pia nilinunua OTG ambayo ilikua na sehemu ya
(adapter ,flash drive na memory card) nayo hii iliandkwa usb 3.0View attachment 2746963
Sasa nataka kujua utofauti wake ni nini? Kati ya
Usb 3.0 na usb 2.0
Speed ya ku transfer data au kuwai Ku load au nini?
Wataalamu mje mtujuze na wengineo ambao atujui asanteni.
Chief-Mkwawa
Asante Sana mkuu ila hapa usb 2 inaonekana kama ipo imara na Bomba zake pia alafu usb 3 naona kama ni ka dhaifu mpaka nilihisi inaweza isi support sababu Bomba ni kama zipo tofut ivi ina maana itakapo ingia usb 2 na 3 pia itaingia ? Samahan kidog nipo mbali na vifaa sija test bado alafu naona hapo kwenye picha line zimeachana Sana 4 kwa 8Usb 2 ni standard ya 2000 maximum inapitisha data 480mbps (60MB/s)
Usb 3.0 ilikuja baadae around 2010 yenyewe inapitisha data kwa 5gbps (625MB/s)
Huo ndio utofauti. Sema hizo version za usb ni kama mabomba tu, haimaanishi ukiwa na bomba kubwaaa basi utapata maji mengi, kitakachofanya flash yako iwe na speed ni aina ya flash/nand waliotumia. Vyema uzipime mwenyewe kujua ipi ina speed.
Ila kwa hizo bei pengine zote zikawa sawa tu.
Ndio usb form factor ni moja itakapoingia moja na nyengine inaingia. Type C peke yake ndio i a muonekano tofauti.Asante Sana mkuu ila hapa usb 2 inaonekana kama ipo imara na Bomba zake pia alafu usb 3 naona kama ni ka dhaifu mpaka nilihisi inaweza isi support sababu Bomba ni kama zipo tofut ivi ina maana itakapo ingia usb 2 na 3 pia itaingia ? Samahan kidog nipo mbali na vifaa sija test bado
Shukrani Sana mkuuNdio usb form factor ni moja itakapoingia moja na nyengine inaingia. Type C peke yake ndio i a muonekano tofauti.
mkuu hiyo flash ilifanya kazi kabisa, iliweza kubeba mafile yakafika hiyo 64GB kweli.Shukrani Sana mkuu
Ziliweza Kabisa bila shida yeyote na flash zote nilizo nunua Ali express azina longo longo mkataba mkuu nyingne hii nimetoka pokea Leo 256 GB iyo ya 64 aiwez kua full 64 itapungua kidogo hata iyo 256 nayo nimeichek ipo 249mkuu hiyo flash ilifanya kazi kabisa, iliweza kubeba mafile yakafika hiyo 64GB kweli.
Niliwai nunua kipindi flani, ilikuwa ya 128 ila ilikua ukiweka vitu, havizidi 32GB.Ziliweza Kabisa bila shida yeyote na flash zote nilizo nunua Ali express azina longo longo mkataba mkuu nyingne hii nimetoka pokea Leo 256 GB iyo ya 64 aiwez kua full 64 itapungua kidogo hata iyo 256 nayo nimeichek ipo 249 View attachment 2747206
Kabla ya kununua soma description na reviews za wateja wengine ndio Una elewa kama ina shida au vipiNiliwai nunua kipindi flani, ilikuwa ya 128 ila ilikua ukiweka vitu, havizidi 32GB.
Mkuu unatumia virtual card (Vodacom , Airtel MasterCard) au debit card kufanya manunuziKabla ya kununua soma description na reviews za wateja wengine ndio Una elewa kama ina shida au vipi
Naomba nijibu japo swali sio langu, mimi hutumia Vodacom Visa card.Mkuu unatumia virtual card (Vodacom , Airtel MasterCard) au debit card kufanya manunuzi
Samahani kwa hili swali
mkuu ntumie link ya ulipo nunua hiyo flash.Kabla ya kununua soma description na reviews za wateja wengine ndio Una elewa kama ina shida au vipi
Natumia voda visa card iyo master card saiz hawanaMkuu unatumia virtual card (Vodacom , Airtel MasterCard) au debit card kufanya manunuzi
Samahani kwa hili swali
Lenovo Smart Electronics Storemkuu ntumie link ya ulipo nunua hiyo flash.
Sawa mkuuNatumia voda visa card iyo master card saiz hawana
Sawa nduguNaomba nijibu japo swali sio langu, mimi hutumia Vodacom Visa card.