Wajuzi wa Mambo tujuzane hii

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
1,497
2,410
Nilinunua flash drive Ali express ya 64 GB iliandkwa usb 2.0
Screenshot_2023-09-12-15-07-32-82.jpg

Alafu Nika nunua tena
flash drive ya Lenovo 256 GB hii iliandkwa usb 3.0
Screenshot_2023-09-12-15-36-25-42.jpg

Pia nilinunua OTG ambayo ilikua na sehemu ya
(adapter ,flash drive na memory card) nayo hii iliandkwa usb 3.0
Screenshot_2023-09-12-15-36-45-48.jpg

Sasa nataka kujua utofauti wake ni nini? Kati ya
Usb 3.0 na usb 2.0
Speed ya ku transfer data au kuwai Ku load au nini?
Wataalamu mje mtujuze na wengineo ambao atujui asanteni.
Chief-Mkwawa
 
Nilinunua flash drive Ali express ya 64 GB iliandkwa usb 2.0 View attachment 2746941
Alafu Nika nunua tena
flash drive ya Lenovo 256 GB hii iliandkwa usb 3.0 View attachment 2746961
Pia nilinunua OTG ambayo ilikua na sehemu ya
(adapter ,flash drive na memory card) nayo hii iliandkwa usb 3.0View attachment 2746963
Sasa nataka kujua utofauti wake ni nini? Kati ya
Usb 3.0 na usb 2.0
Speed ya ku transfer data au kuwai Ku load au nini?
Wataalamu mje mtujuze na wengineo ambao atujui asanteni.
Chief-Mkwawa
Usb 2 ni standard ya 2000 maximum inapitisha data 480mbps (60MB/s)

Usb 3.0 ilikuja baadae around 2010 yenyewe inapitisha data kwa 5gbps (625MB/s)

Huo ndio utofauti. Sema hizo version za usb ni kama mabomba tu, haimaanishi ukiwa na bomba kubwaaa basi utapata maji mengi, kitakachofanya flash yako iwe na speed ni aina ya flash/nand waliotumia. Vyema uzipime mwenyewe kujua ipi ina speed.

Ila kwa hizo bei pengine zote zikawa sawa tu.
 
Asante Sana mkuu ila hapa usb 2 inaonekana kama ipo imara na Bomba zake pia alafu usb 3 naona kama ni ka dhaifu mpaka nilihisi inaweza isi support sababu Bomba ni kama zipo tofut ivi ina maana itakapo ingia usb 2 na 3 pia itaingia ? Samahan kidog nipo mbali na vifaa sija test bado alafu naona hapo kwenye picha line zimeachana Sana 4 kwa 8
Screenshot_2023-09-12-17-40-59-37.jpg
 
Asante Sana mkuu ila hapa usb 2 inaonekana kama ipo imara na Bomba zake pia alafu usb 3 naona kama ni ka dhaifu mpaka nilihisi inaweza isi support sababu Bomba ni kama zipo tofut ivi ina maana itakapo ingia usb 2 na 3 pia itaingia ? Samahan kidog nipo mbali na vifaa sija test bado
Ndio usb form factor ni moja itakapoingia moja na nyengine inaingia. Type C peke yake ndio i a muonekano tofauti.
 
mkuu hiyo flash ilifanya kazi kabisa, iliweza kubeba mafile yakafika hiyo 64GB kweli.
Ziliweza Kabisa bila shida yeyote na flash zote nilizo nunua Ali express azina longo longo mkataba mkuu nyingne hii nimetoka pokea Leo 256 GB iyo ya 64 aiwez kua full 64 itapungua kidogo hata iyo 256 nayo nimeichek ipo 249
IMG_20230912_203841.jpg
 
Back
Top Bottom