Wajuzi bei za matrekta ya kilimo

ukweli tumelia sana na hali isiyo swali ya uchumi wa mifukoni kwetu na mwisho wa siku tunaanza kukubali vyetu tulivyo navyo bila kukubali kuviweka kabatini na tukatumia tulichopata kwa taaluma ya vyeti vyetu tutapitwa.
hivyo ifike wakati tujipange na tuone nini cha kufanya ili maisha yabadilike.
naamini tukijitoa kwa uaminifu kwa kuungana hata kwa kuanza kwa kufanya biashara kwa pamoja kwa kukusanya mtaji kwa kila hisa kuuzwa shilingi 100,000/- tukiwa 100 tunaweza kupata 100,000,000/- ambazo tunaweza kufanya kilimo cha maharage kwa hekari 300 au hata mtama mweupe na mwekundu.
kwa hiyo tunaweza kukopa trekta trekta ambapo kwa sasa ukiwa na 30% unaweza kupewa trekta kwa miaka mitano trekta linaweza kurudisha mkopo na kwa wasatani wa trekta kulima ekari angalau 15 kwa siku kwa shilingi 30,000/- kwa miezi mitatu kwa mwaka27,000,000/- hivyo kwa miaka 5 sawa na 135,000,000 hapa nje ya kulima shamba la pamoja.
 
mkuu nimependa hesabu zako ndogo ila zinapaswa uhalisia zaidi maana hiyo ni chuma huwa inaharibika, ila mkuu unisaidie japo jambo ka wajua aidi katika tractor, je MF 290 na MF 375 ipi iliyo bora shambani?
 
Nimepata elimu kiasi kI kubwa.Ila Naomba kujua umadhubuti wa Massey Ferguson MF 375 ya Pakistan. HP75. Mwenye uzoefu pls msaada. Nataka nitumie morogoro
mkuu naamini hujanunua bado, kiufupi injn ya mhindi haina uwezo wakupiga kazi muda mrefu ikipiga 24hrs kwa miez kadhaa utaon ainaanza kuvujisha oil kwenye injini kwahiyo si nzuri sana ka waangalia hela kwa unafuu iko sawa bei yake inashikika
 
mkuu nimependa hesabu zako ndogo ila zinapaswa uhalisia zaidi maana hiyo ni chuma huwa inaharibika, ila mkuu unisaidie japo jambo ka wajua aidi katika tractor, je MF 290 na MF 375 ipi iliyo bora shambani?
hahaha ...ha... hizi ni hesabu za kutusaidia ili tusubutu furugu nyingine juu kwa juu.
nimekaa na wafanyabiashara wadogo wanavyofanya maamuzi bila kuangalia hasara zijazo halafu wakifanikiwa na sisi tukiwaangalia hivyo lazima tupeane moyo ili tufanye.
aina hiyo ya matrekta sina uzoefu nayo lakini kwa kuwa humu wamo tutapata majibu wote.
 
kweli mkuu kidogo nafahamu ndo maana nipo katika uzi huu na napenda ukuwe tuwe wengi tuweze kusaidiana, kiufupi matrekta yanalipa mkuu, tena si kidogo ka ukiamua kuwa nayo bayana na ukiamua kuwa mtu wa pori, ndani ya mwaka mmoja unaweza hata kufanya kitu kikubwa kwa faida ya trekta kwahiyo mkiwa/ukiwa na trekta ka mbili ama 3 unakuwa mtu/watu wengine kabisa
 
najipanga kuingia pori naona hapa mjini tunazinguana tu.
 
TRACTOR KINGDOM ZAR offers an Extensive Range Of Quality Used MASSEY FERGUSON tractors

MASSEY FERGUSON 135 + 2 SHEAR PLOUGH = R80,000
MASSEY FERGUSON 165 + 3 SHEAR PLOUGH = R100,000
MASSEY FERGUSON 188 + 3 SHEAR PLOUGH = R120,000
MASSEY FERGUSON 290 + 3 SHEAR PLOUGH = 150,000
MASSEY FERGUSON 399 = 150,000

Contact us today for more information ABOUT THIS HUGE SALE !!!

Cnr Lavender Road & Erras street
Wonderboom , Pretoria, South Africa
Tel: 0027 (0) 12-7515612
Cell: 0027 (0) 768110349
Cell: 0027 (0) 723043704
Serious customer
Please contact me .. agriculfarminc@gmail.com
 
Mkuu Trekta za uhakika kwa dunia ya sasa zinatengenezwa na Mmarekani(USA),yaani kuanzia Massey Ferguson, NewHolland,Case,John Deere na Versatile.

Hizo ndio top brands za matrekta kwa dunia ya sasa ambapo Mmarekani ndio ametawala .

Labda labda kidogo mwingine ni Mjerumani ambae trekta zake bora zipo Brands mbili ambazo ni Fendt na Claas.

Kasheshe IPO kwenye bei,,,Trekta mpya ya four wheel drive (4WD) na ya miaka ya karibuni kutoka brands zote saba nilizozitaja hapo juu Si Chini ya 300,000,000.00/= TSH.

Kama unataka mtumba wa Trekta za hao jamaa hapo juu soko lake lipo UK.Ambapo bei ya Trekta mtumba za uhakika brands hizo hapo juu zinarange kuanzia milioni sitini(60M) mpaka milioni mia hamsini(150M).

Sasa ushauri wangu kwako ni kuwa Mara zote inabidi kuangalia ubora na sio bei.India watu wa kule ni wabahili wabahili ndio maana vitu vingi kwao vimekuwa subpriced ili kuendana na matakwa ya soko lao.Utashangaa kwanini gari la mjerumani linalouzwa UK na India ingawa model ni moja lakini bei tofauti ni kubwa?!! ,,,Jawabu ni kuwa wahindi huwa wanaangalia bei na Si ubora; Mercedes Benz model inayouzwa UK ni bora kuliko Mercedes Benz model hiyo hiyo inayouzwa India.

Nahitimisha kukumbusha kuwa hiyo Swaraj ni tractor-type ya Bajaj Boxer Bm150 in quality.BAJAJ BOXER ni mhindi na SWARAJ ni mhindi.

Bei mpya za Matrekta NEW HOLLAND-SUMAJKT
Jamii: Matangazo Imetengezwa: Jumanne, 10 Novemba 2015 09:01

S/NO PARTICULARS PRICE
1New Holland TT 55 2WD 33,623,496.23
2New Holland TT 55 4WD 41,025,203.78
3New Holland TT 75 2WD 41,751,478.56
4New Holland TT 75 4WD 46,575,482.66
53 Bottom Disc Plough 3,950,000.00
63 Bottom Disc Plough 3,750,000.00
714 Disc Mounted Harrow 3,960,000.0
85 Ton Non Tipping Trailer 7,705,417.0
9Planter 5,171,186.00
10Seed Drill 4,035,161.00
11Irrigation Water Pump 5,947,782.00
Bank A/c Na 0198139600 CRDB - AZIKIWE PREMIUM BRANCH
A/c Na 2256600305 NMB - MLIMANI CITY BRANCH
 
Back
Top Bottom