johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,985
- 170,058
Kwani Mbowe siyo diaspora? 😂😂😂Wajumbe wa CHADEMA tafadhilini tunataka mchague Mtanzania sio diaspora wiki yuko Tanzania miezi 6 yuko Ubelgiji kura apewe Mbowe
Mbowe muda wote yuko Tanzania madhila yote yake
Itendeeni haki nchi yenu na Chadema
Lisu ana tabia tu ya kuja kipindi cha chaguzi na hizo chaguzi lazima ziwe zinamhusu yeye kama mgombea iwe ndani ya chama au uchaguzi mkuu
Ndio maana hata uchaguzi wa serikali za mitaa hakujiandikisha akatimka Ubelgiji bila kujali kuwa Singida kwake kura yake muhimu na uhamasishaji muhimu
Hata alipogombea uraisi.uchaguzi ulipoisha tu mbio akatimkia ubelgiji
Hizi tabia anazo Pia Godbless Lema kuwa kama wao sio wagombea wanakuwa Canada na ubelgiji
Lema katoroka kwenda Canada hataki hata kupiga kura yake ndani ya CHADEMA kuchagua mwenyekiti wa kanda Akaona sababu yeye hagombei aende zake canada
Lisu na Lema wana ubinafsi mno
Wakiwa wagombea wenyewe ndio.hujitia wako karibu na wajumbe wapiga kura
Mpigeni chini Lisu kwa jina la Yesu
Tanzania inahitaji watanzania kwenye siasa sio diaspora wanaokuja ku beep na kuondoka
Chadema mko gizani Wengi 🐼