Pre GE2025 Wajasiriamali zaidi ya 200 mkoa wa Rukwa wamekabidhiwa majiko ya gesi kutoka kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
783
1,660
Wajasiriamali zaidi ya 200 wanaouza Chakula katika Soko la Mandela Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa wamekabidhiwa majiko ya gesi yatakayowawezesha kufanya shughuli zao kwa urahisi.

Majiko hayo yamekabidhiwa na Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Nyakia Ally kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu ikiwa na lengo la kuhamasisha Wajasiriamali hao kutumia nishati safi.

Soma Pia: Mbunge Florence Samizi Agawa Mitungi ya Gesi 200 kwa Maafisi Upishi 200 Muhambwe

Wakizungumza kwa nyakati tofauti tofauti Wajasiriamali hao wamemshukuru Rais Samia kwa kuwapatia majiko hayo huku wakieleza hisia zao chanya juu yake na kuahidi kuwa mabalozi wazuri wa matumizi ya nishati safi.

 
Back
Top Bottom