Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na matambiko yenu......mumeagizwa mtafute kuhamia kwingine.
========================

Schaeuble's comments come as the latest in a string of German reproach against Muslims [Getty]
Muslim refugees heading to Europe must accept the European way of life or leave, otherwise there were "better places" for them to go, German Finance Minister Wolfgang Schaeuble said in a discussion panel in Berlin on Wednesday.
Migrants who do not like the European way of living must be told "you have made the wrong decision", Schaeuble, who has served in Angela Merkel's cabinets since 2009, said.
"There are better places in the world to live under Islamic law than Europe," he added.
Schaeuble's comments come as the latest in a string of German reproach against Muslims in the country.
Last month, a member of the executive committee of Merkel’s Christian Democrats [CDU] Jens Spahn called for an "Islam law" to regulate mosques in Germany.
brazaj
Wanataka kuifanya Uropa iwe Islamic state ili watoto wao wakose pa kukumbilia
 
Uislamu ni utamaduni wa ajabu sana na sio utamaduni wa kuchangamana na watu wengine kwa urahisi.

Muislam anakuja kwako kama mgeni halafu anataka akupangie wewe namna ya kuishi, utasikia hiki sitaki,hiki nataka kiwe hivi, hiki haramu, hiki sijui upumbavu gani.

Uislamu ni changamoto sana.
 
Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na matambiko yenu......mumeagizwa mtafute kuhamia kwingine.
========================

Schaeuble's comments come as the latest in a string of German reproach against Muslims [Getty]
Muslim refugees heading to Europe must accept the European way of life or leave, otherwise there were "better places" for them to go, German Finance Minister Wolfgang Schaeuble said in a discussion panel in Berlin on Wednesday.
Migrants who do not like the European way of living must be told "you have made the wrong decision", Schaeuble, who has served in Angela Merkel's cabinets since 2009, said.
"There are better places in the world to live under Islamic law than Europe," he added.
Schaeuble's comments come as the latest in a string of German reproach against Muslims in the country.
Last month, a member of the executive committee of Merkel’s Christian Democrats [CDU] Jens Spahn called for an "Islam law" to regulate mosques in Germany.
brazaj
Hii ndiyo miafrica wengi ni wajinga sana hawa Wazungu zaidi ya miaka 100 wanakuja Africa wanachukua mali zetu wanatuletea vita zisizoisha mfano Congo bado miafrica inaona wazungu wapo sawa Niger kawafukuza.

Sisi Waislam dini yetu imetuhamrisha kuzambaza Uislam kila kona ya dunia huo Mjerumani hawakataze Wajerumani wenzake wasiingie kwenye Uislam siyo Ulaya yote wanapenda ushoga ndiyo maana unaona Wazungu kila siku wanaingia kwenye Uislam.

Waiislam wananua Makanisa na kuyageuza Misikiti. Baada ya miaka 20 Ulaya itakuwa chini ya Waislam😅
 
Amka kwenye ndoto unayoota imeshafika asubuhi
Anzeni hapa Tanzania kwa kuifanya nchi ya kislamu
 
Sio tu kuendana na mila sasahivi tuna influence hadi maamuzi kwenye nchi zao, vipi unateseka ukiwa wapi?

Kuna mchezaji mmoja msenegali huko Ulaya simkumbuki vizuri alisusia kuvaa jezi ya timu yake iliyokuwa ina tangazo la kampuni ya betting.

Alikuwa muislam
 
Hii ndiyo miafrica wengi ni wajinga sana hawa Wazungu zaidi ya miaka 100 wanakuja Africa wanachukua mali zetu wanatuletea vita zisizoisha mfano Congo bado miafrica inaona wazungu wapo sawa Niger kawafukuza.

Sisi Waislam dini yetu imetuhamrisha kuzambaza Uislam kila kona ya dunia huo Mjerumani hawakataze Wajerumani wenzake wasiingie kwenye Uislam siyo Ulaya yote wanapenda ushoga ndiyo maana unaona Wazungu kila siku wanaingia kwenye Uislam.

Waiislam wananua Makanisa na kuyageuza Misikiti. Baada ya miaka 20 Ulaya itakuwa chini ya Waislam😅
Sasa kinakufurahisha nini hapo ulaya kuwa chini ya waislamu??? Uislamu ni utamaduni wa muarabu sisi waafirika haya mambo hayakutakiwa kutuhusu kabisa, labda kama tungekuwa na tamaduni yetu kama wazungu na ukristu au waarabu na uislam , muafrika kushadadia tamaduni za watu ni wendawazimu. Huna dini yako unafurahia za watu
 
Walokole wa JF wameungana kushambulia Uislam😅

Uilslam upo Mbali sana dini inayokuwa kwa kasi mno mtazidi kuumia tu na kujipa msongo wa Mawazo.

Cha ajabu hawa Walokole wanaoshambulia Usilam hawa hawa ndiyo unawakuta wanakeshi JF kuishangilia Israel ni mateka wa Israel hata wakiambiwa Waisrael walimtesa Yesu hawakubali😅
 
Naona waafrika tuko hapa tunatoboana macho kwa dini za wazungu na waarabu.

Wacha tuone nani atashinda..
Hizi mada za chuki huwa siku zote zinaanzishwa na wakristo humu jf ,inaonyesha dhahiri uislamu unawatesa sana, huyo mzungu mwenye nchi yake hana shida na uislamu ajabu kondoo wa mwamposa kutoka ileje anahangaika wakati hata passport tu ya kusafiria hana, ujinga mtupu
 
Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na matambiko yenu......mumeagizwa mtafute kuhamia kwingine.
========================

Schaeuble's comments come as the latest in a string of German reproach against Muslims [Getty]
Muslim refugees heading to Europe must accept the European way of life or leave, otherwise there were "better places" for them to go, German Finance Minister Wolfgang Schaeuble said in a discussion panel in Berlin on Wednesday.
Migrants who do not like the European way of living must be told "you have made the wrong decision", Schaeuble, who has served in Angela Merkel's cabinets since 2009, said.
"There are better places in the world to live under Islamic law than Europe," he added.
Schaeuble's comments come as the latest in a string of German reproach against Muslims in the country.
Last month, a member of the executive committee of Merkel’s Christian Democrats [CDU] Jens Spahn called for an "Islam law" to regulate mosques in Germany.
brazaj

Hawaachi kukimbilia kuishi kwa makafir? Ritz
 
Hizi mada za chuki huwa siku zote zinaanzishwa na wakristo humu jf ,inaonyesha dhahiri uislamu unawatesa sana, huyo mzungu mwenye nchi yake hana shida na uislamu ajabu kondoo wa mwamposa kutoka ileje anahangaika wakati hata passport tu ya kusafiria hana, ujinga mtupu
Mjadala wowote wa kidini lazima utaishia kwenye CHUKI maana dini zote zimejengwa kwenye misingi ya CHUKI dhidi ya dini nyingine.
 
CHa ajabu hukuti hata siku moja muislamu akaanzisha mada ya kudhihaki wakristo, ila haipiti siku wakristo hawaleti mada za chuki dhidi ya uislamu, nachojiuliza kwanini uteseke kwa imani ya mwenzako? Uislamu umetawala kwenye vichwa vya wakristo kuliko hata huyo yesu
 
Uislamu umeikosea nini dunia!
Mbona kila kukicha nikupigwa mawe??

Huu hapa uislamu...

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
THUBUTUUUU....Hawaondoki hawa hata wafanywaje

Ni bora waishi huko huko kwa wanaowaita Makafiri kuliko waende kwa ndugu zao huko Yemen, Afghanistan, Pakistan na Somalia

Ila bado wanawaita Wajerumani makafiri...Waislam wanafiki SANA

Tatizo wanakwenda kunika binuka huko bila kujali wanafanyia wapi, hata kwenye barabarani..

main-qimg-17512da37a0b1e02107ce7cc1999f006
 
Back
Top Bottom