Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,923
- 2,852
Kumbuka unaiongelea Jamuhuri ya Kiislam ya Iran…. So serikali yenyewe ni ya kiislam na inayoongozwa kwa mujibu wa kile kitabu.Wewe bhn usichokijua ni kwamba waweza muona mtu ni mwarabu na asiijue dini yake, Usichukilie kigezo cha kuwa yeye ni mwarabu then dini itakuwa imemkaa sana kichwani.
Tofautisha kati ya mtu aliyesoma dini na mtu mwenye asili ya uarabu. Huna content Mkuu, Plus kuwa yeye alikuwa Raisi wa Inchi so ni serikali ndo inahusika na mazishi yake
So wewe ndo hujui!