Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

analala seuleni sawa, lakini anachokisema kiko sawa? This is the point to consider!

Ni kweli, si tunayaona, tuna watoto wa ndugu zetu waislamu tunaishi nao. Wanafundishwa kuona wengine ambao siyo dini yao ni makafiri, siyo wenzetu. Ujinga mtupu
Kafiri ni neno la kiarabu lina maana ya wale wasioamini dini ya Kiislam.

Ni sawa na wewe kukataa usiitwe malaya wakati tunakuona unajiuza pale Riverside kila siku.
 
Wewe huwezi kujua elimu ya kumjua Mungu inampeleka wapi muumini wa imani husika.
Najua, lengo ni kwenda ahera, kumuona Mungu, lakini ahera haitampa ugali mezani, wataishia kuwa vibaka. na historia ya waislamu they outnumber other religions in uhalifu wa mitaani. (najua utangaka nimekebehi, lkn fact iko hivyo). Fanya kama seminary za katoliki, wanasoma dini na elimu high class /formal ya dunia.
changishaneni, jenga shule safi watotot wasome hiyo madrasa, walale pazuri etc etc.
 
Amani iwe nanyi.

Hivi karibuni Mkuu wa wilaya ya Kisarawe ameonekana akizua taharuki na sintofahamu kwa waislam wa wilaya ya kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Huku akiamuru kuwa wanafunzi warudi makwao na kuita kitendo cha wanafunzi wa kiislam kukusanyika na kuisoma dini yao ni udhalilishaji.

Hii tunaita ni chokochoko dhidi ya Uislam na waislam .Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya Imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo atatokea mtu akaichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.

Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani,upendo,umoja na mshikamano. Ndio mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

Anapotokea mtu awe kiongozi ama yoyote yule akafanya dhihaka ,kukashifu ,kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila ya shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa Taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza Usiku wa manane msikitini ,ambayo waislam wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.

Na pia akidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kuwa watoto wanalala kama nyanya ,wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo.Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa kiislam! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!

Leo hii mkuu mpya wa Wilaya ya kisarawe aje kuwafundisha waislam tafsiri na kazi ya msikiti.Ni jambo la ajabu na aibu sana.

Waislam nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya waislam kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa kiislam kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?

Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea.Nondo,mchanga,cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki

Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwasababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya hii nchi kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.

Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha waislam na uislam kwa ujumla. Jambo la hatari sana.

Video ya sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.

Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi

Basi hata Wacheza ngoma za unyago kwa watoto wenye umri wa kwanda shule wachwe

Nini hasa kipo nyuma ya hizo harakati za kuwarubuni watoto wa maskini ili b
 
Dhihaka na dharau alizozifanya je!?..
Kufanya vamizi za usiku na vyombo vya habari ni sahihi?

Alishindwa nini kuita viongozi wa msikiti na taasisi ya BAKWATA walimalize jambo hili bila ya kuzua taharuki? Huoni kama ni tukio linaloweza kuamsha hisia za waislam?

Anhaa, kumbe alipaswa afanye kimya kimya. Okay.

Pombe Magufuli aliposemekana amezima kimya kimya chokochoko za kidini Mkuranga na Kibiti ilikuwa sawa sawa ili kutoleta taharuki na kuamsha hisia za Waislamu ?????
 
Anhaa, kumbe alipaswa afanye kimya. Okay.

Pombe Magufuli aliposemekana amezima kimya kimya chokochoko za kidini Mkuranga na Kibiti ilikuwa sawa sawa ili kutoleta taharuki na kuamsha hisia za Waislamu ?????
Kiongozi lazima uwe na hekima na busara kwa wale unaowaongoza. Petro anaweza kuwa sawa ila njia aliyoitumia kutatua hilo tatizo sio sawa. Ni njia ya kuzua taharuki na kumchonganisha Rais Samia dhidi ya waumini wa kiislam.
 
Ilikuwa easy tu...ameona kuna tatizo katika kituo kile basi angewaita masheikh ofisini na kuwaelekeza nini kinatakiwa kifanyike au kama alikuwa hana muda huo angewasiliana na viongozi wa bakwata ili wawasiliane na uongozi wa msikiti huo na kuwapa maelekezo ya serikali
 
Watangulizi wa Petro Magoti mbona hawakuleta taharuki hizi.

Wamepita ma DC, Mh Jokate mwegelo na Nikki wa pili wameishi vizuri tu na wana kisarawe ila yeye toka aje kisarawe amekuwa ni mtu wa kuzua taharuki.

Kwanza kaanza kwa kutoa matamko kuwa mabinti wa kizaramo wasichezwe, pikipiki zisitumike kubeba mkaa pikipiki ikikamatwa anaitaifisha , hajakaa vizuri kaja na haya
Unatetea ujinga binti akichezwa inachangia nini maendeleo ya taifa kafanyeni kazi

Boda boda watafutiwe au wapewe kazi zinazo eleweka, hao ndugu zako wabeba mkaa wakianguka wakavunjika huoni kama ni hasara kwa taifa au wewe unatamani wanao waje wafanye boda boda ? Huu mkaa wa boda boda umekatwa kwa vibali huko misituni ?

Hajakataza watu wasisali, serikali haina dini amekupa sababu za kiusalama kila kitu kinapaswa kufuata miongozo Kisha mambo yaendelee.
 
Amani iwe nanyi.

Hivi karibuni Mkuu wa wilaya ya Kisarawe ameonekana akizua taharuki na sintofahamu kwa waislam wa wilaya ya kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Huku akiamuru kuwa wanafunzi warudi makwao na kuita kitendo cha wanafunzi wa kiislam kukusanyika na kuisoma dini yao ni udhalilishaji.

Hii tunaita ni chokochoko dhidi ya Uislam na waislam .Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya Imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo atatokea mtu akaichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.

Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani,upendo,umoja na mshikamano. Ndio mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

Anapotokea mtu awe kiongozi ama yoyote yule akafanya dhihaka ,kukashifu ,kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila ya shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa Taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza Usiku wa manane msikitini ,ambayo waislam wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.

Na pia akidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kuwa watoto wanalala kama nyanya ,wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo.Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa kiislam! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!

Leo hii mkuu mpya wa Wilaya ya kisarawe aje kuwafundisha waislam tafsiri na kazi ya msikiti.Ni jambo la ajabu na aibu sana.

Waislam nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya waislam kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa kiislam kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?

Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea.Nondo,mchanga,cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki

Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwasababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya hii nchi kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.

Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha waislam na uislam kwa ujumla. Jambo la hatari sana.

Video ya sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.

Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi

Hawa mnawafundisha Ugaidi. Si sawa. Mkuu wa Wilaya tena ni mstaarabu sana.
 
Hao siyo waislamu ni wahuni waisiharamu ...tanzania hakuna muislamu hata mmoja...huo ndiyo ukweli.
 
Alichofanya Petro Magoti ni kumfitinisha Rais Dr Samia Suluhu Hassan dhidi ya waislam na uislam.
Mkono mmoja usilaumu hili Hadi anafika hapo mh DC tambua Kuna shida na hajajurupuka acha afanye kazi yake kwa ustawi wa taifa wewe mwenyewe umesema ujenzi bado hata vibali vya ujenzi bado Sasa kujazana huko kwa watoto katika mazingira ya hatari wewe unaona sawa? Jitafakari ndg usilaumu Kama kweli wewe ni mzazi.
 
Kiongozi lazima uwe na hekima na busara kwa wale unaowaongoza. Petro anaweza kuwa sawa ila njia aliyoitumia kutatua hilo tatizo sio sawa. Ni njia ya kuzua taharuki na kumchonganisha Rais Samia dhidi ya waumini wa kiislam.
kuzua taharuki, kuchonganisha serikali, kutoa elimu kwa watu wetu... na ma lugha mengine ya propaganda za CCM tumeyachoka....

watoto wadogo na majogoo ya kuku ndio yanachonganishwa yapigane...

Nilijua huwezi kujibu.

Umedai DC alitakiwa afanye kimya kimya. Magufuli alipozima kimya kimya ugaidi wa Mkuranga na Kibiti ili asizue taharuki alikuwa yuko sawa ??????????????
 
Watangulizi wa Petro Magoti mbona hawakuleta taharuki hizi.

Wamepita ma DC, Mh Jokate mwegelo na Nikki wa pili wameishi vizuri tu na wana kisarawe ila yeye toka aje kisarawe amekuwa ni mtu wa kuzua taharuki.

Kwanza kaanza kwa kutoa matamko kuwa mabinti wa kizaramo wasichezwe, pikipiki zisitumike kubeba mkaa pikipiki ikikamatwa anaitaifisha , hajakaa vizuri kaja na haya
Viko vituo vingapi iko misikiti mingapi hapo kisarawe,kwanini hicho,unadhani dc anaota wapi kuna shida aende bila kupewa taarifa za kiusalama,acheni dc afanye kazi yake magaidi ninyi mnataka kutuharibia nchi kwa dini zenu za kijinga,

Kama ni mafunzo mazuri leteni graduates muwafundishe,sio mnakusanya jamii ya watoto masikini na wajinga ili muwafundishe ugaidi.
 
Back
Top Bottom