Waigizaji weusi waliotisha kwenye muvi za mapigano miaka ya 90.

orangutan

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
757
774
1. Steve James
Huyu jamaa aliwakilisha vyema kwenye muvi nyingi za mapigano na vita. Mojawapo ni muvi ya American Ninja akiigiza na mastaa wengine kama David Bradley pamoja na Michael Dudikorf.


2. Billy Blanks
Huyu mchizi alikuwa tishio sana kwenye muvi za mapigano. Alikuwa anachapa mkono sio wa kitoto. Alikuwa maarufu sana kwa kupiga mateke ya nguvu yanayoweza kuua ng'ombe.



3. Wesley Snipes
Tulikuwa tunamfahamu kwa jina maarufu la "The Blade". Huyu bwana nae alikuwa poa sana kwenye suala zima la martial arts.




Bila kumsahau huyu jamaa mtata sana ambae kacheza muvi nyingi za kibabe pamoja na Donnie Yen. Huyu jamaa huwa haongei sana, yeye ni kichapo tu.



Ongezea vichwa vingine kama unavikumbuka watu tufanye flashback kidogo.
 

Attachments

  • 2408149,Ch5IaQqnxxXrfoqhNaMHsk_Tn6biqPwv1WKFW8fmhtv37f0lxjx99739iAnbLhL0RGx37Cc1sqYCy1AsbIYeeA==.jpg
    55.8 KB · Views: 125
Nimetoka arusha kuja dar,mdogo mdogo around 96 hivi,tunaangalia movie ina actor black...sasa kule ars mtu mweusi kwenye movie tunamwita "masawee"...mi nang'ania na masawee..huku dar wanamwita "nigger"...
....movie ni THE HARD WAY..manzese ccm...kachori mlangoni..
 
jimmy kelly.alikua anacheza na bruce lee
 
braza huyu we
huyu wesly snpe co wa kawaidaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…